Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Ni sauti ya kilio na simanzi kutoka kwa mama mzazi wa mtoto Dominica Damas, ambaye usiku wa kuamkia leo Septemba 2, 2024, amefariki baada ya kudaiwa kulawitiwa na baba yake mzazi aliyetajwa kwa jina la Damas Stephen.
---
Damas Stephen anadaiwa kumlawiti mwanaye Dominica Damas wa miezi na kupelekea kifo cha mtoto huyo na kisha kwenda kutelekeza mwili kwenye mlango wa bibi wa huyo mtoto.
Bibi wa marehemu akitoa ushuhuda amesema mida ya saa tatu akiwa amelala aliamshwa na mwanaye na kumwambia Mama mtoto huyo hapo. Bibi baada ya kuamka alikuta mwili uko kizingitini lakini alipomshika mtoto alikuwa hatikisiki na akaamua kumrudisha mlangoni alipomkuta na kuamua kutoa taarifa.