Baba mzazi adaiwa kumlawiti mwanaye wa miezi 6 mpaka kifo

Quote: "Bongo pakijinga sana yani askari anamwambia mfiwa achukue usafir apeleke maiti kituoni ......."
Exactly yes. Yani mtu akikutukana kwa kukutamkia au kusema "Unamaswali ya kipolisi" unatakiwa ujitafakari sana. Ndo kama hivyo sasa. Hakumbuki kwamba kituoni sio mahali sahihi pa kupeleka maiti i.e. hakuna jokofu la kuhifadhi maiti, unamtwisha mfiwa gharama za kijinga n.k.n.k. Zinashangaza sana kwa kweli kauli za hawa jamaa utadhani hawatumii akili
Wenzetu huwez fanya hvyo hata kidgo uiambiwa ww umeua askari anabid achunguzwe huwez mwambia mtu apeleke maiti kituoni kwa kuibeba tunalipa kodi kushona uniform zao ,viatu,kofia,gwanda na kununua risasi za moto wanazotutishia na za machozi kututawanya wakiamrishwa na wakubwa zao leo ubebe maiti uipeleke kituoni
 
Ile kauli ya ukiona watu 5 basi 3 ni LAZIMA wana matatizo ya akili ni kweli kabisa.
 
Wenzetu huwez fanya hvyo hata kidgo uiambiwa ww umeua askari anabid achunguzwe huwez mwambia mtu apeleke maiti kituoni kwa kuibeba tunalipa kodi kushona uniform zao ,viatu,kofia,gwanda na kununua risasi za moto wanazotutishia na za machozi kututawanya wakiamrishwa na wakubwa zao leo ubebe maiti uipeleke kituoni
Alijitoa ufahamu kwamba maiti hupelekwa Hospitali (Mortuary) na Uchunguzi hufanyikia huko. Ameonesha ujinga wake. eti "Peleka kituoni" kwa gharama zako..
 
Baba ana mke then anamlawiti mtoto wake tena wa 0.6yrs
Kuna haja ya kutathimin aina ya watu waliyopo kwenye jamii.
 
Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini hili. Jamii yetu imekuwa ni ya watu wasioweza kuhoji.

Hii haiwezekani, Kuna jambo linafichwa
 
Ni sauti ya kilio na simanzi kutoka kwa mama mzazi wa mtoto Dominica Damas, ambaye usiku wa kuamkia leo Septemba 2, 2024, amefariki baada ya kudaiwa kulawitiwa na baba yake mzazi aliyetajwa kwa jina la Damas Stephen.

---
Damas Stephen anadaiwa kumlawiti mwanaye Dominica Damas wa miezi na kupelekea kifo cha mtoto huyo na kisha kwenda kutelekeza mwili kwenye mlango wa bibi wa huyo mtoto.

Bibi wa marehemu akitoa ushuhuda amesema mida ya saa tatu akiwa amelala aliamshwa na mwanaye na kumwambia Mama mtoto huyo hapo. Bibi baada ya kuamka alikuta mwili uko kizingitini lakini alipomshika mtoto alikuwa hatikisiki na akaamua kumrudisha mlangoni alipomkuta na kuamua kutoa taarifa.

View attachment 3085197
Aiseee!wanaume tulipofikia huku tunazingua sasa!!!
 
Mbona hujiulizi pamoja na dhambi zako bado unadunda na kiumbe kisicho na dhambi kimeenda?

Huoni kwamba wewe mwenye dhambi unaihitaji zaidi pumzi ili utubu kuliko asiye na dhambi?
Hahahaa!

You sound so dumb.

According to you, mimi nina dhambi na bado nipo hai sina hata kidonda mwilini na nakula maisha.

Yet, kitoto kichanga kisicho na dhambi yoyote ile kinakumbwa na madhila ya kubakwa na jitu zima mpaka kinakufa!

Mungu alikuwa wapi kukilinda hicho kitoto?

Make it make sense.
 
Mnaosema mtoto sio wake mnamaanisha nini? Kwamba ninyi mnawafanyia hivyo watoto ambao si wenu?

Hii nchi baadhi ya watu wanauwezo finyu sana wa kufikiri.
 
Ni sauti ya kilio na simanzi kutoka kwa mama mzazi wa mtoto Dominica Damas, ambaye usiku wa kuamkia leo Septemba 2, 2024, amefariki baada ya kudaiwa kulawitiwa na baba yake mzazi aliyetajwa kwa jina la Damas Stephen.

---

Damas Stephen anadaiwa kumlawiti mwanaye Dominica Damas wa miezi na kupelekea kifo cha mtoto huyo na kisha kwenda kutelekeza mwili kwenye mlango wa bibi wa huyo mtoto.

Bibi wa marehemu akitoa ushuhuda amesema mida ya saa tatu akiwa amelala aliamshwa na mwanaye na kumwambia Mama mtoto huyo hapo. Bibi baada ya kuamka alikuta mwili uko kizingitini lakini alipomshika mtoto alikuwa hatikisiki na akaamua kumrudisha mlangoni alipomkuta na kuamua kutoa taarifa.

Ni sauti ya kilio na simanzi kutoka kwa mama mzazi wa mtoto Dominica Damas, ambaye usiku wa kuamkia leo Septemba 2, 2024, amefariki baada ya kudaiwa kulawitiwa na baba yake mzazi aliyetajwa kwa jina la Damas Stephen.

---

Damas Stephen anadaiwa kumlawiti mwanaye Dominica Damas wa miezi na kupelekea kifo cha mtoto huyo na kisha kwenda kutelekeza mwili kwenye mlango wa bibi wa huyo mtoto.

Bibi wa marehemu akitoa ushuhuda amesema mida ya saa tatu akiwa amelala aliamshwa na mwanaye na kumwambia Mama mtoto huyo hapo. Bibi baada ya kuamka alikuta mwili uko kizingitini lakini alipomshika mtoto alikuwa hatikisiki na akaamua kumrudisha mlangoni alipomkuta na kuamua kutoa taarifa.

Huenda pengine huyo Mwanamke amepata Mwanaume mwingine ambaye anataka kumuoa lakini huenda Mwanamume huyo mpya amempatia sharti la yeye kutokuwa tayari kuoa Mwanamke ambaye tayari ana mtoto aliyezaa na mtu mwingine.
Kwa hiyo ameamua kutengeneza tukio hilo la Mauaji ya huyo Mtoto ili huyo Mwanamke apate Uhuru wa kuweza kuolewa tena na huyo Mwanamume mpya bila kikwazo chochote kile, kwa sababu mtoto atakuwa amekufa na mumewe wa Sasa atakuwa amefungwa kifungo Cha maisha jela/gerezani.

Uangalifu mkubwa wa hali ya juu unahitajika kwenye suala hili.
 
Back
Top Bottom