Baba mzazi adaiwa kumlawiti mwanaye wa miezi 6 mpaka kifo

Baba mzazi adaiwa kumlawiti mwanaye wa miezi 6 mpaka kifo

Watu kama hawa wanapopatikana wataalamu wetu wakae chini nao na kuwadadisi taratibu kuwa shida ni nini kwenye vichwa vyao,ili tuweze baini kuna kirusi gani kimewaingia raia katika taifa hadi kufikia kufanya ukatili kwa viumbe wasio na hatia kama watoto na wanyama.
 
Huyo baba auawe tu kwa kweli
Kha! Kwani bado tu wamemuacha anaendelea kupumua hewa ya Mungu bure??? Wanasubiri nini?? Waliopo hapo Wajiongeze chap na kumalizana naye huyo BabaShenzi Katili.
 
Hapo kuna nungunungu flani wako bize kusema wanawake na singo mama hawa wehu wenzao hawawaoni kabisa, wanaume wa kizazi hiki ni makatili hata shetani anawaogopa
 
Ni sauti ya kilio na simanzi kutoka kwa mama mzazi wa mtoto Dominica Damas, ambaye usiku wa kuamkia leo Septemba 2, 2024, amefariki baada ya kudaiwa kulawitiwa na baba yake mzazi aliyetajwa kwa jina la Damas Stephen.

---
Damas Stephen anadaiwa kumlawiti mwanaye Dominica Damas wa miezi na kupelekea kifo cha mtoto huyo na kisha kwenda kutelekeza mwili kwenye mlango wa bibi wa huyo mtoto.

Bibi wa marehemu akitoa ushuhuda amesema mida ya saa tatu akiwa amelala aliamshwa na mwanaye na kumwambia Mama mtoto huyo hapo. Bibi baada ya kuamka alikuta mwili uko kizingitini lakini alipomshika mtoto alikuwa hatikisiki na akaamua kumrudisha mlangoni alipomkuta na kuamua kutoa taarifa.

View attachment 3085197
How possible🥺🥺🥺
Yawezekana kabisa ndoa ya Watu hao Ina Mgogoro mkubwa sana kati yao. Siyo bure hata kidogo.
 
Ni sauti ya kilio na simanzi kutoka kwa mama mzazi wa mtoto Dominica Damas, ambaye usiku wa kuamkia leo Septemba 2, 2024, amefariki baada ya kudaiwa kulawitiwa na baba yake mzazi aliyetajwa kwa jina la Damas Stephen.

---
Damas Stephen anadaiwa kumlawiti mwanaye Dominica Damas wa miezi na kupelekea kifo cha mtoto huyo na kisha kwenda kutelekeza mwili kwenye mlango wa bibi wa huyo mtoto.

Bibi wa marehemu akitoa ushuhuda amesema mida ya saa tatu akiwa amelala aliamshwa na mwanaye na kumwambia Mama mtoto huyo hapo. Bibi baada ya kuamka alikuta mwili uko kizingitini lakini alipomshika mtoto alikuwa hatikisiki na akaamua kumrudisha mlangoni alipomkuta na kuamua kutoa taarifa.

View attachment 3085197
huyo jamaa atakuwa anavuta SCANCA!!
 
Kwaiyo jamaa Na mbo* ika simama kabisa duuh
Si mnaona?! Hata Mr. Devil naye anashangaa hadi anauliza imewezekanaje? Hapati picha. :AYOOO: Pole sana mr. Devil kwani hata ss tumeshangaa na kuhuzunika mnoo kwa kitendo hiko. Cjui Kaka yake na Shetani naye atasemaje kama sio atazimia.
 
huyo jamaa atakuwa anavuta SCANCA!!
Ikiwa ni pamoja na kubugia mkuyat' bila kuzingatia vipimo. Lakini wakati tunajadili tukio hili ingefaa sana huyo baba mhusika awe ameshadedishwa kitambo ili tuwe huru kujadili kituko hiki cha milenia. 😭
 
Ahahahaaaaaaaaaaaaa!!!!!, da!!!!!! au aletwe 2mpige m2ngo kama yule dada wa buza!!
 
Bongo pakijinga sana yani askari anamwambia mfiwa achukue usafir apeleke maiti kituoni polisi wetu wako serious kweli hata km kijijini ila wangesikia shamba la bange na camera wangeenda nazo shenzi kabisa. Tunalipa kodi uniform zao buti kofia mpka magari wanayotumia mafuta ni kodi zetu hii sijaikubali
 
Kama ni kweli sidhani kama tamaa za kimwili zinaweza kupeleke hilo , labda malengo ya kishirikina au mtu kichaaa . Kama bange ndio tatizo basi Maghayo The Mongo Barbarian angekuwa jela kwa kubaka mbusi.
Hapo ni ushirikina tu na si vinginevyo.
 
Bongo pakijinga sana yani askari anamwambia mfiwa achukue usafir apeleke maiti kituoni polisi wetu wako serious kweli hata km kijijini ila wangesikia shamba la bange na camera wangeenda nazo shenzi kabisa. Tunalipa kodi uniform zao buti kofia mpka magari wanayotumia mafuta ni kodi zetu hii sijaikubali
Quote: "Bongo pakijinga sana yani askari anamwambia mfiwa achukue usafir apeleke maiti kituoni ......."
Exactly yes. Yani mtu akikutukana kwa kukutamkia au kusema "Unamaswali ya kipolisi" unatakiwa ujitafakari sana. Ndo kama hivyo sasa. Hakumbuki kwamba kituoni sio mahali sahihi pa kupeleka maiti i.e. hakuna jokofu la kuhifadhi maiti, unamtwisha mfiwa gharama za kijinga n.k.n.k. Zinashangaza sana kwa kweli kauli za hawa jamaa utadhani hawatumii akili au busara.
 
Back
Top Bottom