Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,635
- 4,411
How? Kuna vitu vingine haviingii akilini kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shetani mwenyewe huko ame blow na wanadamYani siku hizi dhambi zinazofanyika mpaka shetani mwenyewe anakaa pembeni anachukua notes
Mungu atuhurumie 🙏Ni sauti ya kilio na simanzi kutoka kwa mama mzazi wa mtoto Dominica Damas, ambaye usiku wa kuamkia leo Septemba 2, 2024, amefariki baada ya kudaiwa kulawitiwa na baba yake mzazi aliyetajwa kwa jina la Damas Stephen.
---
Damas Stephen anadaiwa kumlawiti mwanaye Dominica Damas wa miezi na kupelekea kifo cha mtoto huyo na kisha kwenda kutelekeza mwili kwenye mlango wa bibi wa huyo mtoto.
Bibi wa marehemu akitoa ushuhuda amesema mida ya saa tatu akiwa amelala aliamshwa na mwanaye na kumwambia Mama mtoto huyo hapo. Bibi baada ya kuamka alikuta mwili uko kizingitini lakini alipomshika mtoto alikuwa hatikisiki na akaamua kumrudisha mlangoni alipomkuta na kuamua kutoa taarifa.
View attachment 3085197
Hii taarifa nimeiona EATV saa moja, imeniharibia siku yangu yaani na hasira mno, nimeumia sana, R.I.P little angel DOMINICANi sauti ya kilio na simanzi kutoka kwa mama mzazi wa mtoto Dominica Damas, ambaye usiku wa kuamkia leo Septemba 2, 2024, amefariki baada ya kudaiwa kulawitiwa na baba yake mzazi aliyetajwa kwa jina la Damas Stephen.
---
Damas Stephen anadaiwa kumlawiti mwanaye Dominica Damas wa miezi na kupelekea kifo cha mtoto huyo na kisha kwenda kutelekeza mwili kwenye mlango wa bibi wa huyo mtoto.
Bibi wa marehemu akitoa ushuhuda amesema mida ya saa tatu akiwa amelala aliamshwa na mwanaye na kumwambia Mama mtoto huyo hapo. Bibi baada ya kuamka alikuta mwili uko kizingitini lakini alipomshika mtoto alikuwa hatikisiki na akaamua kumrudisha mlangoni alipomkuta na kuamua kutoa taarifa.
View attachment 3085197
Hii habari haikamiliki, je ina mkono wa nani? Haitaji tukio limetokea wapi na wala haina details za kutosha kama umri wa mhusika na mtotoNi sauti ya kilio na simanzi kutoka kwa mama mzazi wa mtoto Dominica Damas, ambaye usiku wa kuamkia leo Septemba 2, 2024, amefariki baada ya kudaiwa kulawitiwa na baba yake mzazi aliyetajwa kwa jina la Damas Stephen...
Hata kuweka like hapa ni noma😭😭😭Ni sauti ya kilio na simanzi kutoka kwa mama mzazi wa mtoto Dominica Damas, ambaye usiku wa kuamkia leo Septemba 2, 2024, amefariki baada ya kudaiwa kulawitiwa na baba yake mzazi aliyetajwa kwa jina la Damas Stephen.