Baba mzazi adaiwa kumlawiti mwanaye wa miezi 6 mpaka kifo

Baba mzazi adaiwa kumlawiti mwanaye wa miezi 6 mpaka kifo

Jamaa nae anazingua miezi sita aaah mambo ya kifara kabisa ingekua kua newyork mguu wa kuku tushamvzia mda th kadead tunawaachia FBI wahangaike na uchunguzi
 
Uwa nawashangaa sana wanaharakati uchwara wanaopinga adhabu ya kifo kwa kisingizio cha haki za binadamu, sasa mtu kama huyo akithibitika kufanya unyama huo kwanini asiuliwe tu.
 
Uwa nawashangaa sana wanaharakati uchwara wanaopinga adhabu ya kifo kwa kisingizio cha haki za binadamu, sasa mtu kama huyo akithibitika kufanya unyama huo kwanini asiuliwe tu.
Mimi naiunga mkono adhabu ya kifo.

Mtu anayeua binadamu mwenzake kwa makusudi na dhamiri mbaya, ana uhalali gani wa kuendelea kuishi?
 
-Kwa mtoto wa miezi 6 Tundu la kuchomeka talimbo!, how this can be done?
 
Anaponyongwa inasaidia sana katika kuzuia ukatili wa aina hii kutofanyika kwa wengine!
Hata kama adhabu ya kifo siyo deterrent, mimi bado naiunga mkono kwa sababu inamwadhibu mkosaji/ muuaji.

Na ingekuwa ni juu yangu, ingependeza zaidi huyo muuaji kufa kwa mtindo alioutumia yeye kuuondoa uhai wa mwingine.

Kwa mfano, hilo lijamaa linafaa liingiliwe kwenye matundu yake yote mwilini na vitu vigumu vigumu kama nondo, rungu, nyundo, matawi manene ya miti, chupa za bia, konyagi, Jack Daniel’s, n.k.

Sokomezea mavitu mpaka life tu halafu linatupwa mto Rufiji liwe chakula cha mamba.
 
Mmhhhh hii ngumu ...

Ni ama Mzee kaingia 18 za waganga .

Au Mtoto sio wake hivo Roho ya ukatili na kulipiza Kisasi imemuingia.

Au Mke anajua mtoto sio wa jamaa na ni yeye alotekeleza mauaji hayo ili amsingizie Mumewe ,au Mke anajua mtoto ni wa jamaa kweli ila Wana maugonv hivo Kwa Hasira kaamua kuuua mtoto .

Ni suala zito hakihitaji mihemko.
 
Ni sauti ya kilio na simanzi kutoka kwa mama mzazi wa mtoto Dominica Damas, ambaye usiku wa kuamkia leo Septemba 2, 2024, amefariki baada ya kudaiwa kulawitiwa na baba yake mzazi aliyetajwa kwa jina la Damas Stephen.

---
Damas Stephen anadaiwa kumlawiti mwanaye Dominica Damas wa miezi na kupelekea kifo cha mtoto huyo na kisha kwenda kutelekeza mwili kwenye mlango wa bibi wa huyo mtoto.

Bibi wa marehemu akitoa ushuhuda amesema mida ya saa tatu akiwa amelala aliamshwa na mwanaye na kumwambia Mama mtoto huyo hapo. Bibi baada ya kuamka alikuta mwili uko kizingitini lakini alipomshika mtoto alikuwa hatikisiki na akaamua kumrudisha mlangoni alipomkuta na kuamua kutoa taarifa.

View attachment 3085197
Dah mtoto wa miezi 6? Inawezekanaje jamani
 
Vitu vingine sio vya kumsingizia shetani. hizi ni tamaa za binadamu
 
Ni sauti ya kilio na simanzi kutoka kwa mama mzazi wa mtoto Dominica Damas, ambaye usiku wa kuamkia leo Septemba 2, 2024, amefariki baada ya kudaiwa kulawitiwa na baba yake mzazi aliyetajwa kwa jina la Damas Stephen.

---
Damas Stephen anadaiwa kumlawiti mwanaye Dominica Damas wa miezi na kupelekea kifo cha mtoto huyo na kisha kwenda kutelekeza mwili kwenye mlango wa bibi wa huyo mtoto.

Bibi wa marehemu akitoa ushuhuda amesema mida ya saa tatu akiwa amelala aliamshwa na mwanaye na kumwambia Mama mtoto huyo hapo. Bibi baada ya kuamka alikuta mwili uko kizingitini lakini alipomshika mtoto alikuwa hatikisiki na akaamua kumrudisha mlangoni alipomkuta na kuamua kutoa taarifa.

View attachment 3085197
Sasahivi watoto wanapitia nyakati ngumu za kikatili inahuzunisha sana
 
Back
Top Bottom