TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

Huyu mjomba hua ana hasira muda wote na kwa kila kitu.. Itakuwa katika makuzi yake hakuwa anapewa nafasi ya kujieleza na kuonyesha anaweza nini
Kumbe ni kawaida yake.

Huyu chalii Wyatt Mathewson hata hii nayo atabisha kwa jazba.

Halafu anajidai traditionalist wa majina ya asili ya watu wa Africa, wakati ID yake humu JF amejipa jina lisilo la asili yake.

My take:-

Utandawazi (muingiliano wa tamaduni za watu wa jamii mbalimbali) unakuja na mengi, hivyo katika huu utandawazi kila mmoja achukue kile anachokiona kinamfaa as long as hakiuki Haki za kiBinadamu.

Yaani suala dogo tu la Jina limemfanya chalii aje kwa povu la jazba bila hata kujua kwa nini mtu anatumia jina husika.

Chalii analazimisha watu watumie majina anayoyataka yeye.
 
Lala salama mzee Ndunguru
Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba
 
Update


 
Koo za kingoni huwa zinatajwa tofauti kati ya mwanaume na mwanamke.Ndunguru inatumika kwa mwanaume mwanamke mwegelo ,komba wanawake wanaitwa hanji au nakomba,ntanga wanawake in chigalu nk

Wee jamaa Wyatt Mathewson Umeita watu vichaa, ila nina hakika mpaka sasa kichaa halisi umeshamjua. Who else, if not you! Definitely you are the real kichaa
 
Kichaa kabisa tumeshakujua ni wewe, na ukichaa wako umeuzidi ukichaa wangu mbali sana.
 
You are very stupid aisee

Very stupid ... Beyond limits
 
Duuh kazi ipo
Stress NI ugonjwa?
Kwa hiyo nilipokwambia una stress ukajua nimekwambia una ugonjwa!!!

Nahisi stress zitakuwa zimekuletea shida ya ugonjwa humo kichwani
Fanya umuone daktari
Jamaa ana matatizo ya akili
 
Please seek medical attention

You are sick

Very sick... And miserable
 
Mkuu umeongea kwa kutumia akili na weledi bila mihemuko kama hao wengine.

Bila shaka umejiuliza maseali mengi na ndio ukaja na reasoning ya kisomi kama hii.

Watubwanaishia kulaumu mtu kwa official names anazo tumia biala kufahamu source zake.

Sasa kama jina lilitumika mpaka shuleni kuna haja gani ya kumlaum mtoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…