Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 644
- 718
Kumbe ni kawaida yakeHuyu mjomba hua ana hasira muda wote na kwa kila kitu.. Itakuwa katika makuzi yake hakuwa anapewa nafasi ya kujieleza na kuonyesha anaweza nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni kawaida yakeHuyu mjomba hua ana hasira muda wote na kwa kila kitu.. Itakuwa katika makuzi yake hakuwa anapewa nafasi ya kujieleza na kuonyesha anaweza nini
Kumbe ni kawaida yake.Huyu mjomba hua ana hasira muda wote na kwa kila kitu.. Itakuwa katika makuzi yake hakuwa anapewa nafasi ya kujieleza na kuonyesha anaweza nini
Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo @jokatemwegelo , Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia Alfajiri ya leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa (ICU) kwa muda sasa baada ya kupata kiharusi (stroke).
DC Jokate ametuthibitishia taarifa hizo na kusema taratibu za mazishi bado zinaendelea nyumbani kwa Marehemu.
Update
Mwili wa Baba Mzazi wa DC wa Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru unatarajiwa kuagwa Jumatatu December 21,2020 katika Kanisa la St Peters DSM, kisha kusafirishwa Jumatatu hiyohiyo kwenda Mbinga Mkoani Ruvuma.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika Jumanne December 22, 2020, katika kijiji cha Tanga, Mbinga. Mzee Ndunguru amefariki Alfajiri leo Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa (ICU) kwa muda baada ya kupata Kiharusi (Stroke)
#RIPMzeeNdunguru
Chanzo Cha habari-Millardayo
Mwegelo ni Ndunguru. Kusini makabila yanatumia majina haya kwa wanawake mfano Komba ni Nakomba.
Mbunda ni Nyiwolelu.
Haule ni Nyamalongo Nk. Kama angekua anaitwa mfano Jokate Haule angeweza kuwa Jokate Nyamalongo ni kitu hiko hiko.
Huu ni utamaduni wa huko iko hivyo.
Jamiiforum hata kama watu hawajui kitu wanaeza kujifanya wanajua hii hapa ya kwanini anatumia Mwegelo wakati ni Ndunguru wengi wanapotosha.
Koo za kingoni huwa zinatajwa tofauti kati ya mwanaume na mwanamke.Ndunguru inatumika kwa mwanaume mwanamke mwegelo ,komba wanawake wanaitwa hanji au nakomba,ntanga wanawake in chigalu nk
Duuh kazi ipoOh yeah?
Mzee wa kuwagawia watu magonjwa online!
WHat a super doctor you are!
Kichaa kabisa tumeshakujua ni wewe, na ukichaa wako umeuzidi ukichaa wangu mbali sana.Hahahaaa
Kwenye majina ya uongo eti unanipa moral authority ya kuchagua jina la uongo la Kiafrika?
The theme here ni "majina ya uongo" from "unknown internet characters" eti unanipa obligation ya kuchagua aina fulani ya "jina la uongo"!
Unajua mna kichaa ujue!
Wewe unaacha kutumia jina lako halisi in real life kukwepa watu kujua wewe ni NDUNGURU!
The theme here ni "jina halisi in real life"....unakimbia kwenu?
Jina la ukoo?Sio jina la kwanza,ni jina la UBINI....
Majina ya UBINI hua sio la kizungu,wewe unakimbia UBINI wako?
Kumbuka tunaongelea jina la UBINI,la ukoo,la asili kabisa....!
Mnakosa hoja nyie vichaa!
You are very stupid aiseeSina jina hapa...
Yote humu ni majina ya uongo to internet characters!
Sio real names to real people in real life!
Najua wewe ni robot au mimi ni robot?
Shida ni wewe kukimbia jina lako la UKOO,sio jina la kwanza,hapana,jina la UKOO ambayo hua ya kiasili eti usionekane wewe ni NDUNGURU?
Jina la UKOO I'm talking here!
Jina la UKOO ni jina la asili kabisa la ukoo wako ambalo hua sio la kizungu,unalikimbia sababu ni NDUNGURU?
I hate stupidity,kama kuchukia stupidity ni HATE then let it be!
Jamaa ana matatizo ya akiliDuuh kazi ipo
Stress NI ugonjwa?
Kwa hiyo nilipokwambia una stress ukajua nimekwambia una ugonjwa!!!
Nahisi stress zitakuwa zimekuletea shida ya ugonjwa humo kichwani
Fanya umuone daktari
Please seek medical attentionHahahaaa
Kwenye majina ya uongo eti unanipa moral authority ya kuchagua jina la uongo la Kiafrika?
The theme here ni "majina ya uongo" from "unknown internet characters" eti unanipa obligation ya kuchagua aina fulani ya "jina la uongo"!
Unajua mna kichaa ujue!
Wewe unaacha kutumia jina lako halisi in real life kukwepa watu kujua wewe ni NDUNGURU!
The theme here ni "jina halisi in real life"....unakimbia kwenu?
Jina la ukoo?Sio jina la kwanza,ni jina la UBINI....
Majina ya UBINI hua sio la kizungu,wewe unakimbia UBINI wako?
Kumbuka tunaongelea jina la UBINI,la ukoo,la asili kabisa....!
Mnakosa hoja nyie vichaa!
Watu wa kusini ni MatrilinealKwa hiyo hili jina la Mwegelo ni la baba wa kufikia?
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi, diamond, Alikiba, Hasheem, Omy Dimpo na mweshimiwa tumefiwa na baba mkwe ila kila mmoja anaomboleza kivyake!
YesWatu wa kusini ni Matrilineal
Kwa kawaida ukoo wa Ndunguru, watoto wa kike wanaitwa kina "Mwegelo"umeambiwa mzee costa nduguru anaitwa
Watu wabaya[emoji1]Mmmh[emoji849][emoji849][emoji849][emoji848]
Tusiwalaumu sana hawa akina Jokate kutumia surname ya Mwogelo labda ni maamuzi ya wazai wao. Kikubwa ni kujua kwa nini Jokate anatumia surname ya Mwogelo badala Ndunguru. Yawezekana baba yao mzazi ndiye alitumia jina la kwao na mama yeke hivyo hakupenda watoto wake aendelee kutumia jina la kwao na mama yake lazima kuna sababu. NI mtazamo tu.
Hivi kumbe Essy na Jokate ni mtu na dada yake?yule mtoto wa dada yake jokate ambaye alikua meneja wa alikiba anaitwa essy
Angekua boya asingemchukua mikononi Mwenu na kumuoa mkuuHuyu mshua anatoa watoto vyombo sana, alikuwa na mwanae mwingine tulikuwa tunaishi nae kitaa alikuwa chuma balaa, akaja kuolewa na boya flani