TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

Kama utakumbuka historia ya Tanzania kuhusu baadhi ya makabila ya kusini, mtoto anakuwa wa mama Wamakuwa,Wayao ni mfano hata ukifuatilia historia ya Mh Mkapa ilo jina limetoka upande wa mama!km sijakosea hata Mh Membe pia yuko kwenye trend hiyo.
 
Leo tena Mc Pilipili kapoteza Mama Mzazi, wacha tuendelee kupata taarifa zaidi.
 
Kanisa la St Peters. Hili ni kanisa Katoliki, Anglican au Lutheran.

Taarifa haijawa clear enough.

Rest in peace mungoni
 
expand...
Raha ya Milele umpe eeh Bwana na Mwanga wa milele umwangizie. Mzee Urban Costa Ndunguru apumzike wa Amani, Amina. Pole Joketi , pole sana Familia, poleni ya kupoteza!
 
ipo hivi hawa ni wamatengo kawaida yao ukoo wa ndunguru watoto wa kike hutumia jina la mwegelo so kwa wamatengo ndunguru na mwegelo ni jina moja
 
Ndio maana huwa wanasema mjomba ni mama.. Nafikiri makabila ya kusini Yana mtindo huo na Mimi naona vizuri tu Kwa kuwa mama ndio anamjua baba wa mtoto.
Lkn naye huyo mama anajuaje kwamba ni mtoto halali wa baba yake mpaka aone fahari kumwita mtoto wake ubini wa baba yake??
 

Nyuma ya pazia vifo kuongozana mwisho wa mwaka
 
Nimesoma comments zote lkn cjaona komenti ya mkuu hata moja🤔🤔
 
Na kweli bora mzee aliona mbali maana inasemekana yule mwamba Magavila ni choko 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…