TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

Hebu fanya utafiti ujiridhishe, Ila kwa utafiti wangu, hakuna kabila la namna hiyo Tanzania.
ispokua Watoto waliokanwa na Baba zao, yaani wa nje ya ndoa, ambao walikanwa na baba zao ndiyo hupewa ubini wa mama.

Ila kwa Baba anelea mwanawe ikiwa ndani ya ndoa, au nje ya ndoa, Baba akiitwa Julias akiza mtoto, akampa jina Fahamy, huyu mtoto ataitwa Fahamy Julius, hii ni kwa makabila yote Tanzania. hakuna atakae thibitisha hilo kwa kutaja kabila hapa.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Kama utakumbuka historia ya Tanzania kuhusu baadhi ya makabila ya kusini, mtoto anakuwa wa mama Wamakuwa,Wayao ni mfano hata ukifuatilia historia ya Mh Mkapa ilo jina limetoka upande wa mama!km sijakosea hata Mh Membe pia yuko kwenye trend hiyo.
 
Changamoto ya upumuaji naona bado ipo ipo tu, watu maarufu wanaanguka kama miembe tu bado wasiokuwa na majina lakini naona RIP whatsapp status za watu na kule facebook. Naomba tumalize huu mwezi wa 12 salama. Akianguka mwingine mkubwa naweza kuwa sahihi hapa.
Leo tena Mc Pilipili kapoteza Mama Mzazi, wacha tuendelee kupata taarifa zaidi.
 
Kanisa la St Peters. Hili ni kanisa Katoliki, Anglican au Lutheran.

Taarifa haijawa clear enough.

Rest in peace mungoni
 
expand...
Raha ya Milele umpe eeh Bwana na Mwanga wa milele umwangizie. Mzee Urban Costa Ndunguru apumzike wa Amani, Amina. Pole Joketi , pole sana Familia, poleni ya kupoteza!
 
Mkuu umeongea kwa kutumia akili na weledi bila mihemuko kama hao wengine.

Bila shaka umejiuliza maseali mengi na ndio ukaja na reasoning ya kisomi kama hii.

Watubwanaishia kulaumu mtu kwa official names anazo tumia biala kufahamu source zake.

Sasa kama jina lilitumika mpaka shuleni kuna haja gani ya kumlaum mtoto?
Mkuu umeongea kwa kutumia akili na weledi bila mihemuko kama hao wengine.

Bila shaka umejiuliza maseali mengi na ndio ukaja na reasoning ya kisomi kama hii.

Watubwanaishia kulaumu mtu kwa official names anazo tumia biala kufahamu source zake.

Sasa kama jina lilitumika mpaka shuleni kuna haja gani ya kumlaum mtoto?
ipo hivi hawa ni wamatengo kawaida yao ukoo wa ndunguru watoto wa kike hutumia jina la mwegelo so kwa wamatengo ndunguru na mwegelo ni jina moja
 
Ndio maana huwa wanasema mjomba ni mama.. Nafikiri makabila ya kusini Yana mtindo huo na Mimi naona vizuri tu Kwa kuwa mama ndio anamjua baba wa mtoto.
Lkn naye huyo mama anajuaje kwamba ni mtoto halali wa baba yake mpaka aone fahari kumwita mtoto wake ubini wa baba yake??
 

Nyuma ya pazia vifo kuongozana mwisho wa mwaka
 
Nimesoma comments zote lkn cjaona komenti ya mkuu hata moja🤔🤔
 
Niliwahi kusikia kwamba watoto wa huyu mzee walikuwa hawatumii jina la ukoo (Ndunguru) ila walikuwa wanatumia majina yao waliyopewa kama huyo Costantine Magavila (Constantine na Magavila yote ni yake aliyopewa alipozaliwa) ( Mwingine ni Martine Kolikoli , Martine na kolikoli yote ni yake hakuna jina la ukoo hapo) Jokate na mwegelo yote ni ya huyo jokate hakuna la ukoo hapo sababu ni kwamba huyo mzee alisema watumie majina yao tu bila jina la ukoo ili kama ukishafua jina lako kwa maisha utakayoishi basi uchafuke mwwenyewe usiharibu jina la ukoo mzima
Na kweli bora mzee aliona mbali maana inasemekana yule mwamba Magavila ni choko 😂
 
Back
Top Bottom