Hujui kinachoendelea ndani ya ndoa hiyo ndio maana unasema hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kinachoendelea ndani ya ndoa hiyo ndio maana unasema hivyo
Zuchu, mbona katoto kadogo sana kale, mabazazi washaanza kukafungulia dunia?Mayai alishayamaliza,
Kwa Sasa mtoto anamtafuta jwa tochi,
Nikama kina Wema,Lulu na sasa Zuchu ndiyo anafata nyayo.
yeah ila ni mtoto wa mama yake mkubwa na jokate
Kama utakumbuka historia ya Tanzania kuhusu baadhi ya makabila ya kusini, mtoto anakuwa wa mama Wamakuwa,Wayao ni mfano hata ukifuatilia historia ya Mh Mkapa ilo jina limetoka upande wa mama!km sijakosea hata Mh Membe pia yuko kwenye trend hiyo.Hebu fanya utafiti ujiridhishe, Ila kwa utafiti wangu, hakuna kabila la namna hiyo Tanzania.
ispokua Watoto waliokanwa na Baba zao, yaani wa nje ya ndoa, ambao walikanwa na baba zao ndiyo hupewa ubini wa mama.
Ila kwa Baba anelea mwanawe ikiwa ndani ya ndoa, au nje ya ndoa, Baba akiitwa Julias akiza mtoto, akampa jina Fahamy, huyu mtoto ataitwa Fahamy Julius, hii ni kwa makabila yote Tanzania. hakuna atakae thibitisha hilo kwa kutaja kabila hapa.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Daaah nikikumbuka yule mbwa alikuwa katili ile mbayaMwamba ana Diss Jokate huku username yake tu Tayari ya lile jamaa la kwenye Prison Break season 4 ambalo Mahone alilifunza adabu vyema kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo tena Mc Pilipili kapoteza Mama Mzazi, wacha tuendelee kupata taarifa zaidi.Changamoto ya upumuaji naona bado ipo ipo tu, watu maarufu wanaanguka kama miembe tu bado wasiokuwa na majina lakini naona RIP whatsapp status za watu na kule facebook. Naomba tumalize huu mwezi wa 12 salama. Akianguka mwingine mkubwa naweza kuwa sahihi hapa.
Raha ya Milele umpe eeh Bwana na Mwanga wa milele umwangizie. Mzee Urban Costa Ndunguru apumzike wa Amani, Amina. Pole Joketi , pole sana Familia, poleni ya kupoteza!expand...
Mkuu umeongea kwa kutumia akili na weledi bila mihemuko kama hao wengine.
Bila shaka umejiuliza maseali mengi na ndio ukaja na reasoning ya kisomi kama hii.
Watubwanaishia kulaumu mtu kwa official names anazo tumia biala kufahamu source zake.
Sasa kama jina lilitumika mpaka shuleni kuna haja gani ya kumlaum mtoto?
ipo hivi hawa ni wamatengo kawaida yao ukoo wa ndunguru watoto wa kike hutumia jina la mwegelo so kwa wamatengo ndunguru na mwegelo ni jina mojaMkuu umeongea kwa kutumia akili na weledi bila mihemuko kama hao wengine.
Bila shaka umejiuliza maseali mengi na ndio ukaja na reasoning ya kisomi kama hii.
Watubwanaishia kulaumu mtu kwa official names anazo tumia biala kufahamu source zake.
Sasa kama jina lilitumika mpaka shuleni kuna haja gani ya kumlaum mtoto?
If and only if😂😂Apumzike Kwa Amani
Wajukuu Wataonwa Na Bibi Kama Yupo Endapo Watapatikana
Lkn naye huyo mama anajuaje kwamba ni mtoto halali wa baba yake mpaka aone fahari kumwita mtoto wake ubini wa baba yake??Ndio maana huwa wanasema mjomba ni mama.. Nafikiri makabila ya kusini Yana mtindo huo na Mimi naona vizuri tu Kwa kuwa mama ndio anamjua baba wa mtoto.
Mkuu acha basi siyo poaMzee kaenda hajaona mjukuu toka kwa Jokate.
Hahahaha.. na lingewamaliza lile kama asingekua yule chalii mchina kuwa snitch wenzie [emoji28][emoji28][emoji28]Daaah nikikumbuka yule mbwa alikuwa katili ile mbaya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kaka yake jojo anaitwa Constantine Magavila! Sasa hawa jamaa sijui Nomenclature ya kwao ikoje yaniyule mtoto wa dada yake jokate ambaye alikua meneja wa alikiba anaitwa essy
Na kweli bora mzee aliona mbali maana inasemekana yule mwamba Magavila ni choko 😂Niliwahi kusikia kwamba watoto wa huyu mzee walikuwa hawatumii jina la ukoo (Ndunguru) ila walikuwa wanatumia majina yao waliyopewa kama huyo Costantine Magavila (Constantine na Magavila yote ni yake aliyopewa alipozaliwa) ( Mwingine ni Martine Kolikoli , Martine na kolikoli yote ni yake hakuna jina la ukoo hapo) Jokate na mwegelo yote ni ya huyo jokate hakuna la ukoo hapo sababu ni kwamba huyo mzee alisema watumie majina yao tu bila jina la ukoo ili kama ukishafua jina lako kwa maisha utakayoishi basi uchafuke mwwenyewe usiharibu jina la ukoo mzima