TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila wewe jamaa wewe[emoji23][emoji23]
Hivi huwa unawaza nini?
 
Kuna majina Mawili Ndunguru na Mwigelo . ina maana huyu ni baba wa kufikia !
 
Sijui we ni kabila gani ila tayari wangoni ndani ya uzi wanasema jina Ndunguru linabadilika kuwa Mwegelo mwenye nalo anapokuwa wa kike sasa sijui bado unasimamia wapi kuendeleza huu mjadala wa kwanini Jokate anatumia Mwegelo badala ya Ndunguru! Au una ugomvi binafsi na Jokate? Mwanamme unakomaliaje kumshambulia na kumnanga mtoto wa kike! Utapewa skendo kenge wewe
 
Ndunguru kwa kiume, na mwegelo kwa kike, km ilivyo kwa nchimbi kwa kiume, nyoni kwa kike. Komba kwa kiume, nyema kwa kike.
Ndo ungonini kulivyo kuna majina ya kiume na kike.
 
Walaaa

Ni watu waoga kusema nyekundu ni nyekundu....

Nikisema mimi wanakua shocked how dare this fool talks open like this

Kumbe nimeweka wazi what they had been thinking all along
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unanichekesha ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani we jamaa nikiona comments zako huwa navunjika mbavu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akili yako ina shida mahali
 
Bila ya shaka COVID19 itakuwa nayo inahusika kwenye baadhi ya vifo hivi lakini kwa kuwa tulishaambiwa uongo kwamba Mwenyezi Mungu katunusuru hakuna COVID19 Tanzania wale walioamini uongo huo waache waendelee kutochukua tahadhari.

Wimbi la vifo vya ghafla limerudi tena
 
Ndunguru kwa kiume, na mwegelo kwa kike, km ilivyo kwa nchimbi kwa kiume, nyoni kwa kike. Komba kwa kiume, nyema kwa kike.
Ndo ungonini kulivyo kuna majina ya kiume na kike.
Nyoni wa kike kwa akina Nchimbi..!!?? Hapana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…