TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

Covid-19

Lets call spade a spade

Halafu anaitwa Ndunguru,akina Jokate yalivyo malimbukeni hayatumii jina Ndunguru sababu limekaa kienyeji na ni la mkoa wa kusini asilia

Mabishoo haya matoto,ndio maana ni ma failure

U-DC na sijui motivational speaker and other nonsenses ni ma-failure matupu..

Hayana respect with where they come from,with their origins,ubishoo umeyajaa haya matoto

Yameniudhi sana haya matoto,hovyo kabisa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila wewe jamaa wewe[emoji23][emoji23]
Hivi huwa unawaza nini?
 
Kuna majina Mawili Ndunguru na Mwigelo . ina maana huyu ni baba wa kufikia !
 
Blah blah

Nitokee wapi?Ni challenge tu nimekupa

Tunazungumzia majina ya uongo,halafu unaniambia nichague "jina la uongo la Kiafrika" wakati ni ya uongo to begin with?

Mkuu NDUNGURU ni jina la ukoo,sio jina la kwanza useme labda linaweza kua la kizungu,ni jina la asili kabisa ya mwafrika,Jokate analikataa jina la UKOO

Hakuna jina la UKOO hapa Africa ni la kizungu,yoooote ni ya asili kabisa

Majina ya kwanza na katikati yanaweza kua ya Kiarabu au ya Kizungu au vyovyote...

Huna hoja yeyote
Sijui we ni kabila gani ila tayari wangoni ndani ya uzi wanasema jina Ndunguru linabadilika kuwa Mwegelo mwenye nalo anapokuwa wa kike sasa sijui bado unasimamia wapi kuendeleza huu mjadala wa kwanini Jokate anatumia Mwegelo badala ya Ndunguru! Au una ugomvi binafsi na Jokate? Mwanamme unakomaliaje kumshambulia na kumnanga mtoto wa kike! Utapewa skendo kenge wewe
 
Ndunguru kwa kiume, na mwegelo kwa kike, km ilivyo kwa nchimbi kwa kiume, nyoni kwa kike. Komba kwa kiume, nyema kwa kike.
Ndo ungonini kulivyo kuna majina ya kiume na kike.
 
Walaaa

Ni watu waoga kusema nyekundu ni nyekundu....

Nikisema mimi wanakua shocked how dare this fool talks open like this

Kumbe nimeweka wazi what they had been thinking all along
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unanichekesha ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani we jamaa nikiona comments zako huwa navunjika mbavu.
 
Mkuu

Nilishasema sisikilizi any reason from anywhere!

Mwanadamu hakosi reason yeyote kujitetea

I trust only my brain...na akili yangu inanitosha mimi pekee yangu binafsi

Nimesoma na wanawake majina yao ya ukoo ni NDUNGURU na still last time I checked ni wanawake kama Jokate

Plus,kaka yake hatumii jina NDUNGURU anywhere na last time I checked ni mwanaume!

These kids are confused,ubishoo umewazidi,ndio maana yanafeli kila mahali!

By the way kabila langu mimi Mchagga,its crazy....I talk shit ma nigga....

Too bad I cant change,nisamehe tu!

Akili yako ina shida mahali
 
Bila ya shaka COVID19 itakuwa nayo inahusika kwenye baadhi ya vifo hivi lakini kwa kuwa tulishaambiwa uongo kwamba Mwenyezi Mungu katunusuru hakuna COVID19 Tanzania wale walioamini uongo huo waache waendelee kutochukua tahadhari.

Wimbi la vifo vya ghafla limerudi tena
 
Ndunguru kwa kiume, na mwegelo kwa kike, km ilivyo kwa nchimbi kwa kiume, nyoni kwa kike. Komba kwa kiume, nyema kwa kike.
Ndo ungonini kulivyo kuna majina ya kiume na kike.
Nyoni wa kike kwa akina Nchimbi..!!?? Hapana aisee
 
Back
Top Bottom