ksny
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 1,704
- 1,694
Marahaba..Shikamoo Mzee KSK...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marahaba..Shikamoo Mzee KSK...
Na wala hakuwa na haja sijui kusema Marehemu alikuwa Civil Servant ( Foreign ) badala yake angesema tu alikuwa ni TISS Agent ingetosha Kwetu.Mkuu si unajua mtz hajibu hoja anatafuta stories..
Ninao wawili tayari na wengine wanakuja kwa kasi ya 4GVipi wewe ushapeleka wajukuu Mbinga wazee wakawaone.?
Au ndiyo wale wale.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Covid-19
Lets call spade a spade
Halafu anaitwa Ndunguru,akina Jokate yalivyo malimbukeni hayatumii jina Ndunguru sababu limekaa kienyeji na ni la mkoa wa kusini asilia
Mabishoo haya matoto,ndio maana ni ma failure
U-DC na sijui motivational speaker and other nonsenses ni ma-failure matupu..
Hayana respect with where they come from,with their origins,ubishoo umeyajaa haya matoto
Yameniudhi sana haya matoto,hovyo kabisa!
Sijui we ni kabila gani ila tayari wangoni ndani ya uzi wanasema jina Ndunguru linabadilika kuwa Mwegelo mwenye nalo anapokuwa wa kike sasa sijui bado unasimamia wapi kuendeleza huu mjadala wa kwanini Jokate anatumia Mwegelo badala ya Ndunguru! Au una ugomvi binafsi na Jokate? Mwanamme unakomaliaje kumshambulia na kumnanga mtoto wa kike! Utapewa skendo kenge weweBlah blah
Nitokee wapi?Ni challenge tu nimekupa
Tunazungumzia majina ya uongo,halafu unaniambia nichague "jina la uongo la Kiafrika" wakati ni ya uongo to begin with?
Mkuu NDUNGURU ni jina la ukoo,sio jina la kwanza useme labda linaweza kua la kizungu,ni jina la asili kabisa ya mwafrika,Jokate analikataa jina la UKOO
Hakuna jina la UKOO hapa Africa ni la kizungu,yoooote ni ya asili kabisa
Majina ya kwanza na katikati yanaweza kua ya Kiarabu au ya Kizungu au vyovyote...
Huna hoja yeyote
Ndunguru kwa kiume, na mwegelo kwa kike, km ilivyo kwa nchimbi kwa kiume, nyoni kwa kike. Komba kwa kiume, nyema kwa kike.Sijui we ni kabila gani ila tayari wangoni ndani ya uzi wanasema jina Ndunguru linabadilika kuwa Mwegelo mwenye nalo anapokuwa wa kike sasa sijui bado unasimamia wapi kuendeleza huu mjadala wa kwanini Jokate anatumia Mwegelo badala ya Ndunguru! Au una ugomvi binafsi na Jokate? Mwanamme unakomaliaje kumshambulia na kumnanga mtoto wa kike! Utapewa skendo kenge wewe
Anaitwa Urban Costa NdunguruR.i.p mzee Mwegelo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walaaa
Ni watu waoga kusema nyekundu ni nyekundu....
Nikisema mimi wanakua shocked how dare this fool talks open like this
Kumbe nimeweka wazi what they had been thinking all along
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu
Nilishasema sisikilizi any reason from anywhere!
Mwanadamu hakosi reason yeyote kujitetea
I trust only my brain...na akili yangu inanitosha mimi pekee yangu binafsi
Nimesoma na wanawake majina yao ya ukoo ni NDUNGURU na still last time I checked ni wanawake kama Jokate
Plus,kaka yake hatumii jina NDUNGURU anywhere na last time I checked ni mwanaume!
These kids are confused,ubishoo umewazidi,ndio maana yanafeli kila mahali!
By the way kabila langu mimi Mchagga,its crazy....I talk shit ma nigga....
Too bad I cant change,nisamehe tu!
Kwamba wakurua ndio wenye hasira Kali[emoji1]Labda ni Mkurya!
Nilimposa akakataaUlijuaje hataki kuolewa?
Akili yako ina shida mahaliMkuu
Nilishasema sisikilizi any reason from anywhere!
Mwanadamu hakosi reason yeyote kujitetea
I trust only my brain...na akili yangu inanitosha mimi pekee yangu binafsi
Nimesoma na wanawake majina yao ya ukoo ni NDUNGURU na still last time I checked ni wanawake kama Jokate
Plus,kaka yake hatumii jina NDUNGURU anywhere na last time I checked ni mwanaume!
These kids are confused,ubishoo umewazidi,ndio maana yanafeli kila mahali!
By the way kabila langu mimi Mchagga,its crazy....I talk shit ma nigga....
Too bad I cant change,nisamehe tu!
Wimbi la vifo vya ghafla limerudi tena
Zuhura Othman Soud a.k.a Zuchu aliyezaliwa mwaka 1990 ni katoto kadogo?Zuchu, mbona katoto kadogo sana kale, mabazazi washaanza kukafungulia dunia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyoni wa kike kwa akina Nchimbi..!!?? Hapana aiseeNdunguru kwa kiume, na mwegelo kwa kike, km ilivyo kwa nchimbi kwa kiume, nyoni kwa kike. Komba kwa kiume, nyema kwa kike.
Ndo ungonini kulivyo kuna majina ya kiume na kike.
Hapana mkuu mwenye bint hakosi mkwe.na ww ulipata bahati yakutembea na JoJo??
Ndyo ivo, unabisha nn wakati me najua. Heeh wee lolNyoni wa kike kwa akina Nchimbi..!!?? Hapana aisee