Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,629
- 2,733
Hujui raha ya wajukuu wewe.Ingemsaidia nini angeona?
Hasa wakati wa likizo .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui raha ya wajukuu wewe.Ingemsaidia nini angeona?
Kuna makabila wanatumia ubini upande wa Wamama.Why jina ni Ndunguru na sio Mwegelo??
Mzee kaenda hajaona mjukuu toka Jokate.
Matrilineal.Kwa hiyo hili jina la mwegelo ni la baba wa kufikia?
NayeYe atakuwa hajaonja hyo radha.Hujui raha ya wajukuu wewe.
Hasa wakati wa likizo .
Kumbe unadhani....!!? HahahahajJokate ana mtoto mkubwa tu wa 8 years nadhani
Kuna makabila wanatumia ubini upande wa Wamama.
Pengo gani?Rip,,hili pengo halitazibika..
Ingemsaidia kuona mwanae hana mayai vizaIngemsaidia nini angeona?
Aloacha mzee wetu Mwegelo..Pengo gani?
Yapo lakini sio kwa Jokate....sisi sio wajinga.Kuna makabila wanatumia ubini upande wa Wamama.
Mzee kaenda hajaona mjukuu toka kwa Jokate.
Ndio maana huwa wanasema mjomba ni mama.. Nafikiri makabila ya kusini Yana mtindo huo na Mimi naona vizuri tu Kwa kuwa mama ndio anamjua baba wa mtoto.Kuna makabila wanatumia ubini upande wa Wamama.