Hebu fanya utafiti ujiridhishe, Ila kwa utafiti wangu, hakuna kabila la namna hiyo Tanzania.
ispokua Watoto waliokanwa na Baba zao, yaani wa nje ya ndoa, ambao walikanwa na baba zao ndiyo hupewa ubini wa mama.
Ila kwa Baba anelea mwanawe ikiwa ndani ya ndoa, au nje ya ndoa, Baba akiitwa Julias akiza mtoto, akampa jina Fahamy, huyu mtoto ataitwa Fahamy Julius, hii ni kwa makabila yote Tanzania. hakuna atakae thibitisha hilo kwa kutaja kabila hapa.
Sent from my SM-A307FN using
JamiiForums mobile app