MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Wakubwa wengi nchini tena wa ngazi mbalimbali wanafiwa sana na Wazazi wao natamani kujua kwanini DC huyu kapata Media Coverage Kubwa.Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo @jokatemwegelo , Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia Alfajiri ya leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa (ICU) kwa muda sasa baada ya kupata kiharusi (stroke).
DC Jokate ametuthibitishia taarifa hizo na kusema taratibu za mazishi bado zinaendelea nyumbani kwa Marehemu.
Chanzo Cha habari-Millardayo
yule mtoto wa dada yake jokate ambaye alikua meneja wa alikiba anaitwa essyJokate ana mtoto mkubwa tu wa 8 years nadhani
Watu wanapenda sana kujadili "personal issues" za wengine. Mimi ninaona ni ujinga sanaILA WATU
Yapi hayo? Yataje basi.Huu uzi umenikumbusha mamano menhi sana
mbona hata membe anatumia ubini wa mama huko lindi ni kitu cha kawaida sanaAisee..! Yatakuwa Makabila ya ajabu sana hayo.
Kabla ya uongozi alikua celebrity mkubwa so coverage ni kubwa hata asingekua DCWakubwa wengi nchini tena wa ngazi mbalimbali wanafiwa sana na Wazazi wao natamani kujua kwanini DC huyu kapata Media Coverage Kubwa.
Asante kwa Ufafanuzi wako murua Ndugu.Kabla ya uongozi alikua celebrity mkubwa so coverage ni kubwa hata asingekua DC
Mzee kaenda hajaona mjukuu toka kwa Jokate.
kwa hiyo ni mtoto wa nje ya ndoa mrembo wa taifa?Niliskia Mwegelo ni ubini upande wa mama ake
Mbona wewe hautaki nikuoe? Kwanini hautaki kuwa mke wangu?Hivi kwanini Jokate hataki kuolewa?
Hebu fanya utafiti ujiridhishe, Ila kwa utafiti wangu, hakuna kabila la namna hiyo Tanzania.Ndio maana huwa wanasema mjomba ni mama.. Nafikiri makabila ya kusini Yana mtindo huo na Mimi naona vizuri tu Kwa kuwa mama ndio anamjua baba wa mtoto.
Hivi kwanini Jokate hataki kuolewa? Tuanzie hapo nadhani, then tutabadilisha mada baadae.
umendika kama unakimbizwa,tulia kata gogo tawadha vizuri then commentHuu uzi umenikumbusha mamano menhi sana
Fungua uzi wakoHivi kwanini Jokate hataki kuolewa? Tuanzie hapo nadhani, then tutabadilisha mada baadae.
Mfano Ben Mkapa,jina la Mkapa lilikuwa jina la upande wa mama yakeHebu fanya utafiti ujiridhishe, Ila kwa utafiti wangu, hakuna kabila la namna hiyo Tanzania.
ispokua Watoto waliokanwa na Baba zao, yaani wa nje ya ndoa, ambao walikanwa na baba zao ndiyo hupewa ubini wa mama.
Ila kwa Baba anelea mwanawe ikiwa ndani ya ndoa, au nje ya ndoa, Baba akiitwa Julias akiza mtoto, akampa jina Fahamy, huyu mtoto ataitwa Fahamy Julius, hii ni kwa makabila yote Tanzania. hakuna atakae thibitisha hilo kwa kutaja kabila hapa.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app