TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

Duuh! uko na jazba sana!! Kwa kweli MITANO TENA.
Kwa hiyo Mkuu, wewe kazi yako ni kupangia watu majina waitwe vipi?

Jina lako la kwenye ID yako tu linaonesha jinsi gani nawe unashobokea majina ya watu (westernized names). ID yako tu inaonesha nawe huna respect na where you come from.

Usiwapangie watu majina kwa lazma, unalazimisha watu watambulike kwa majina unayoyataka wewe? wewe ni nani? Unatumia vibaya "freedom of speech".

Acha kila mtu ajipe jina analotaka ilimradi tu havunji haki za kibinadamu.
 
Vipi wewe je unaenzi jamii yako?

Maana isijekuwa unajidai traditionalist huku mtandaoni tu.

Anyway sijui asili yako ila kama wewe ni Mtu mweusi (sub-saharan native) na unaishi katika nyumba iliyojengwa kwa saruji. Basi jua umefeli kufuata asili yako (Nyumba za saruji siyo asili ya mtu mweusi)

Kama wewe ni mtu mweusi na unavaa nguo za ki-magharibi pia jua na wewe pia umeikacha asili yako (fatilia historia, nguo za watu weusi zinajulikana)

Kama unatumia jina ambalo siyo la asili yenu kikabila, basi pia nawe jua ni wale wale tu.

Internet yenyewe pia siyo asili yako. Achana nayo.

Hata lugha ya Kiingereza unayoitumia kwenye maandishi pia siyo asili yako. Achana nayo kama kweli huwa unakerwa na watu wasiofuata asili zao.

Elimu yenyewe hii ya NECTA uliyosoma nina hakika siyo elimu ya asili ya jamii yako.

My Take:-

Hii ni Karne ya 21, Utandawazi una mengi, chukua kinachokufaa na kuwa mpole, KAA KWA KUTULIA! Usijidai ni mhafidhina (conservative) wa ki-traditionalism kwa kujificha nyuma ya keyboard ya simu yako tu wakati nina uhakika tukikufatilia kiuhalisia huna u-traditionalism hata kwa 14%.

Usipangie watu maisha kwa lazma, Kila mtu aishi apendavyo na ajipe jina alipendalo as long as anafuata miongozo ya haki za kibinadamu.
 
Daah daaaah. Siku zinakimbia mno. Ndunguru wa Foreign Affairs miaka ya 90+ Bonge la Handsome Baba. Mzee wa Matanuzi Vijana Hostel ndani Benzi la kishua. Handsome man Presentable alijua kupangilia pamba. Mkarimu Sana Kwa Wadada Wazuri wazuri. Kumbe ni babake Jokate!!! Ndio sababu Jokate ni pisi Kali karithi Kwa Baba.
RIP Urban Ndunguru.
 
jina tu umekuwa mbogo hivyo, Je angekuwa kaua Twiga ingekuwaje?
Mkuu jina kitu kidogo tu hicho. Acha watu wajipe majina wanayoyapenda. SHIDA NI NINI? Jazba zote hizo kisa jina tu.
 
Inaonekana unapenda mashindano,nimemaliza darasa la 7 Mtwara (Naliendele,Ligula,Vigaeni,Magomeni,Mikindani,Chuno,Chikongola kote nakufahamu )

Umesoma hizo biography za Mkapa na Membe ?

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app

Mimi ni Mwera nimemkuta babu yangu aliyezaliwa kabla ya vita vya majimaji anatumia jina la ukoo wa baba yake. Na ninaweza kukutajia majina ya generation saba nyyma ya babu na wote walikuwa wanatumia majina ya baba zao. Hata upande wa bibi yangu ni hivyo hivyo.

Hizu habari nimezisoma kwenye vitabu bila ya shaka zitakuwa za zama za mawe za kati ndiyo makabila ya kusini yalikuwa yanatumia surname za mama zao.
 
Kama kweli wewe ni traditionalist na muhafidhina (conservative) katika kutetea majina ya asili ya natives wa Sub-Saharan Countries, basi kwanza achana na hiyo ID yako.

Maana majina ya wengine umeyashupalia kwa jazba kupita kiasi.

Nguvu uliyoitumia kwa jazba ingetosha kabisa kuzalisha MEGAWATT MBILI za umeme.
 
Unamfahamu huyu mzee?[emoji849]
 
Tatizo ni kwamba umeanza tu kuhukumu hata kabla ya kufatilia kujua ni kwa nini anatumia jina hilo.

Au una ugomvi naye nini? Maana ulivyomshambulia kama nyuki.

Usijisahaulishe kuwa, hata majina ya kwenye cheti cha kuzaliwa nayo pia ni ID vile vile. Lengo la jina ni ili kurahisisha utambuzi (identification).

Na kisheria mtu anaweza kubadilisha jina lake na kutambuliwa (identified) rasmi kwa jina lake jipya.

Sasa shida ni nini? Yaani jina tu umshambulie mtu kupita kiasi, Je angeua Twiga je? Si ndo ungemlipua kwa grenade na C4 kabisaaaaa.


#Logic #Reasoning
 
Uko sahihi ni zama za mawe.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…