mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Mayai alishayamaliza,Mzee kaenda hajaona mjukuu toka kwa Jokate.
Kwa Sasa mtoto anamtafuta jwa tochi,
Nikama kina Wema,Lulu na sasa Zuchu ndiyo anafata nyayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayai alishayamaliza,Mzee kaenda hajaona mjukuu toka kwa Jokate.
Kuna mahali nmetaja mwaka?mwaka gani watu walikua hawafi mkuu
Duuh! uko na jazba sana!! Kwa kweli MITANO TENA.Covid-19
Lets call spade a spade
Halafu anaitwa Ndunguru,akina Jokate yalivyo malimbukeni hayatumii jina Ndunguru sababu limekaa kienyeji na ni la mkoa wa kusini asilia
Mabishoo haya matoto,ndio maana ni ma failure
U-DC na sijui motivational speaker and other nonsenses ni ma-failure matupu..
Hayana respect with where they come from,with their origins,ubishoo umeyajaa haya matoto
Yameniudhi sana haya matoto,hovyo kabisa!
Vipi wewe je unaenzi jamii yako?Mimi mtu anaejifanya jamii ingine anaacha kuenzi jamii yake personally hua anatibua vuzi za hizi pumbu zangu
I dont hold back,lazima niwachape nao!
Hivi inakuaje mtu unajikausha kabisa una-bypass who you really are and where you really came from kwa sababu za kibishoo namna hii?
jina tu umekuwa mbogo hivyo, Je angekuwa kaua Twiga ingekuwaje?Acha bangi wewe
Mimi siwezi acha kuthamini ninapotoka wewe
Nina enzi ninapotoka,siwezi onea aibu ninapotoka
Hoja yako ya kipumbavu sana kuhusu nguo...huwezi niambia leo nivae majani mb.00 zibaki nje
Wanadamu wote tulianza uchi bila kua na nguo,kwanini tusikae uchi wote kama tunathamini originality kama unavyosema hapa?
Hoja yako ni ya kipumbavu mno,jamii ina evolve....
Hakuna Mchagga au Mtanzania havai nguo yeyote
Kutetea mpumbavu kutokutumia jina la ukoo wake sababu tu lina sound kishamba ni upumbavu unaleta hapa
Thats nonsense
Huwezi ni convince.....
Eti jamiii inakaa kwenye utandawazi mpaka uache kutumia jina la ukoo wako kisa utaonekana mshamba?Huo ndio utandawazi kikwako?
Bure kabisa.....
Hujani convince wewe!
[emoji16]umeambiwa mzee costa nduguru anaitwa
Inaonekana unapenda mashindano,nimemaliza darasa la 7 Mtwara (Naliendele,Ligula,Vigaeni,Magomeni,Mikindani,Chuno,Chikongola kote nakufahamu )
Umesoma hizo biography za Mkapa na Membe ?
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Kale nako kabishoololo[emoji16][emoji16]Mbona hujinasibisha mngoni kumbe watu huwa hawapendi makabila yao madogo yajulikane
Kama kweli wewe ni traditionalist na muhafidhina (conservative) katika kutetea majina ya asili ya natives wa Sub-Saharan Countries, basi kwanza achana na hiyo ID yako.Brother majina ya JF ni majina nicknames
We are just internet characters here,naweza jiita hata Mavi kama ID,does not mean shit...
Wewe unachukulia ID za JF kama serious human being names,you are crazy!
In real life,jina langu sijajichagulia,nimepewa na wazazi wangu,sio my choice,sikua na mamlaka nalo
Nimejikuta tu naitwa fulani,I had not choice on this,fata wazazi wangu ndio uwaulize na kuwa judge
Jazba kila mwanadamu anazo,hata wewe unazo,cha ajabu unaona zangu pekee yake,cool!
"freedom of speech" haikwambii ukane unapotoka na chanzo cha uzao wako sababu tu unataka uonekane bishoo....
Yule demu ni NDUNGURU,thats it...mengine ni ubishoo na kujitenga na kwao!
Mmmh[emoji849][emoji849][emoji849][emoji848]Poleni Jokate na Rais Magufuli kwa kufiwa.
Unamfahamu huyu mzee?[emoji849]Daah daaaah. Siku zinakimbia mno. Ndunguru wa Foreign Affairs miaka ya 90+ Bonge la Handsome Baba. Mzee wa Matanuzi Vijana Hostel ndani Benzi la kishua. Handsome man Presentable alijua kupangilia pamba. Mkarimu Sana Kwa Wadada Wazuri wazuri. Kumbe ni babake Jokate!!! Ndio sababu Jokate ni pisi Kali karithi Kwa Baba.
RIP Urban Ndunguru.
Waswahili mna shida sana.Mzee kaenda hajaona mjukuu toka kwa Jokate.
Koo za kingoni huwa zinatajwa tofauti kati ya mwanaume na mwanamke.Ndunguru inatumika kwa mwanaume mwanamke mwegelo ,komba wanawake wanaitwa hanji au nakomba,ntanga wanawake in chigalu nkWhy jina ni Ndunguru na sio Mwegelo??
Tatizo ni kwamba umeanza tu kuhukumu hata kabla ya kufatilia kujua ni kwa nini anatumia jina hilo.Brother
No ID hapa ni jina halisi la mtu....
Naweza jiita MAVI kama ID,sio jina langu,ni internet fake name mzee
Hoja yako ya ID ni hovyo maana tuna deal majina ya uongo humu
Mimi ni traditionalist,Jokate kutokutumia jina la NDUNGURU ni kosa kwangu mimi
Unakwepaje kwenu?Ili tu usionekane ni mtu wa kusini ambapo ni kwenu na ndio asili ya uzao wako na mababu zako?
Siwezi samehe mamaeeee zenu
Uko sahihi ni zama za mawe.Mimi ni Mwera nimemkuta babu yangu aliyezaliwa kabla ya vita vya majimaji anatumia jina la ukoo wa baba yake. Na ninaweza kukutajia majina ya generation saba nyyma ya babu na wote walikuwa wanatumia majina ya baba zao. Hata upande wa bibi yangu ni hivyo hivyo.
Hizu habari nimezisoma kwenye vitabu bila ya shaka zitakuwa za zama za mawe za kati ndiyo makabila ya kusini yalikuwa yanatumia surname za mama zao.
Kuna wimbi lingine dahWimbi la vifo vya ghafla limerudi tena
Kwani kuna nini unalofahamu tujuzeaisee kweli dunia tunapita na ina mambo mengi lakini muda hautoshi,kumbe huyu mzee mwanae ni DC wa kisarawe...RIP mzee