TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

Mkuu jina unalionaje?? Sema hukusikia ila ukweli ni kwamba MAKABILA YA KUSINI UBIN HUTAMBULIKA UPANDE WA MAMA. SIKU HIZI TU NDIO WATU HUTUMIA MAJINA YA UPANDE WA BABA ZAO. MAKABILA YOTE YA KUSINI UPANDE WA MAMA NDIO WENYE MILIKI YA WATOTO. Kungangamana na watu wa jamii tofauti ndio kumepelekea hali kubadilika siku hizi.
 
Kuna kipindi nilisoma article ya Jokate katika gazeti akielezea maisha yake. Moja ya jambo jokate aligusia ni swala la kulelewa na mama yake zaidi na kuwa hakuwa katika mahusiano sababu aliona experience ya mama yake na baba yake jambo ambalo hakuwa tayari kufunguka.

So from then nikajua tu hii ni kesi ya single mother kumjaza binti sumu. Sasa tangu lini mtoto atumie jina la mama yake na baba yupo?!

Mimi nijuavyo ni kuwa mama hata kama una ugomvi na mwenzako haimaanishi mtoto ataacha kuwa damu moja na baba yake, kumkana baba wa mtoto na kumjaza mtoto sumu kumhusu baba yake huwa haileti matokeo mazuri.

Mama toxic ni mbaya mara mbili ya baba asiyewajibika kwa mtoto wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe huna tofauti na akina Jokate,badala ya kutumia ID yenye jina la Kiafrika,wewe unatumia la kibeberu.Tena ni afadhali hata ya akina Mwegelo,maana wao wametumia ya Kiafrika
 
Hivi kwanini Jokate hataki kuolewa? Tuanzie hapo nadhani, then tutabadilisha mada baadae.
Jokate ni wale mabinti sadistic, nilibahatika kukaa na mtu wake wa karibu akanielezea haiba yake.

Ni wale wanawake wanaghubu na kupenda visirani, akikaa na mwanaume anataka amcontrol na kuonyesha umwamba. So wanaume wengi akikutana nao wanashindwana nae hilo eneo. Na sasa hivi amekuwa na cheo hicho ndio kabisa.

Hata wanawake wenzake wamapata wakati mgumu kubond nae sababu ni mtu wa kuwaonyesha wenzake kuwa yeye ni wa zaidi na ziada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo akaona aangukie kwa Mzee baba angalau
 
Kwa mantiki hiyo, ni kama mfumo wa majina ya Kirundi utumia majina yote ya mhusika bila la ubini. Mfano, Theoneste Nkund'imana. Yaani jina la majahazi (la kigeni) na la asili.
 
JF kuna habari zote muhimu. Hii niliaikia kwa Costatine mwenyewe
 
Hata MKAPA ni ubini wa upande wa mama yake. Hili ni jambo la Kawaida kwa makabila kadhaa ya kusini. Source: Kitabu chake mwenyewe Mzee Mkapa ''My life, My purpose''
mbona hata membe anatumia ubini wa mama huko lindi ni kitu cha kawaida sana
 
We jamaa always unawakiaga kwenye gia.. Hizi hasira kwa kila kitu unazitoaga wapi?
 

[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo sababu ya kutumia majina tofauti imeniacha hoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…