Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kha!!May beUpungufu wa oxygen mwilini husababisha kiharusi
Umejuaje?Mzee kaenda hajaona mjukuu toka kwa Jokate.
Mkuu jina unalionaje?? Sema hukusikia ila ukweli ni kwamba MAKABILA YA KUSINI UBIN HUTAMBULIKA UPANDE WA MAMA. SIKU HIZI TU NDIO WATU HUTUMIA MAJINA YA UPANDE WA BABA ZAO. MAKABILA YOTE YA KUSINI UPANDE WA MAMA NDIO WENYE MILIKI YA WATOTO. Kungangamana na watu wa jamii tofauti ndio kumepelekea hali kubadilika siku hizi.Baba mzazi wa mkapa alikua akiitwa nani, nikuambie ndugu yangu acha kuzania, mimi nimeishi Nachingwea miaka 16, Siwezi kanusha juu ya mkapa kuitwa ubini wa mama yake maana Sina ushahidi. ila jamii ya kimakua, ambalo ndo kabila la mkapa, nimeishi nao, sikusika watoto wao wakiitwa ubini wa mama.
Nachingwea, wenye mji ule, ni wamwera, ambalo ni kabila la Membe, miaka yote 16 Nach, sikuona wazazi hata waliokua jirani zangu, watoto wao wakiitwa kwa ubini wa mama.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Mama katia fitina...... Si unajua yale mambo ya huyu ni mwanangu nitalea mwenyewe mwanangu.Why jina ni Ndunguru na sio Mwegelo??
Yeye hatokei hayo makabilaKuna makabila wanatumia ubini upande wa Wamama.
Na wewe huna tofauti na akina Jokate,badala ya kutumia ID yenye jina la Kiafrika,wewe unatumia la kibeberu.Tena ni afadhali hata ya akina Mwegelo,maana wao wametumia ya KiafrikaCovid-19
Lets call spade a spade
Halafu anaitwa Ndunguru,akina Jokate yalivyo malimbukeni hayatumii jina Ndunguru sababu limekaa kienyeji na ni la mkoa wa kusini asilia
Mabishoo haya matoto,ndio maana ni ma failure
U-DC na sijui motivational speaker and other nonsenses ni ma-failure matupu..
Hayana respect with where they come from,with their origins,ubishoo umeyajaa haya matoto
Yameniudhi sana haya matoto,hovyo kabisa!
Jokate ni wale mabinti sadistic, nilibahatika kukaa na mtu wake wa karibu akanielezea haiba yake.Hivi kwanini Jokate hataki kuolewa? Tuanzie hapo nadhani, then tutabadilisha mada baadae.
Sasa anadate na Lizee la Miaka 62 Mjukuu atapatikana vipi? Zee lenyewe Roho mbaya kama ya SheytwaniMzee kaenda hajaona mjukuu toka kwa Jokate.
Ndo akaona aangukie kwa Mzee baba angalauJokate ni wale mabinti sadistic, nilibahatika kukaa na mtu wake wa karibu akanielezea haiba yake.
Ni wale wanawake wanaghubu na kupenda visirani, akikaa na mwanaume anataka amcontrol na kuonyesha umwamba. So wanaume wengi akikutana nao wanashindwana nae hilo eneo. Na sasa hivi amekuwa na cheo hicho ndio kabisa.
Hata wanawake wenzake wamapata wakati mgumu kubond nae sababu ni mtu wa kuwaonyesha wenzake kuwa yeye ni wa zaidi na ziada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mantiki hiyo, ni kama mfumo wa majina ya Kirundi utumia majina yote ya mhusika bila la ubini. Mfano, Theoneste Nkund'imana. Yaani jina la majahazi (la kigeni) na la asili.Niliwahi kusikia kwamba watoto wa huyu mzee walikuwa hawatumii jina la ukoo (Ndunguru) ila walikuwa wanatumia majina yao waliyopewa kama huyo Costantine Magavila (Constantine na Magavila yote ni yake aliyopewa alipozaliwa) ( Mwingine ni Martine Kolikoli , Martine na kolikoli yote ni yake hakuna jina la ukoo hapo) Jokate na mwegelo yote ni ya huyo jokate hakuna la ukoo hapo sababu ni kwamba huyo mzee alisema watumie majina yao tu bila jina la ukoo ili kama ukishafua jina lako kwa maisha utakayoishi basi uchafuke mwwenyewe usiharibu jina la ukoo mzima
JF kuna habari zote muhimu. Hii niliaikia kwa Costatine mwenyeweNiliwahi kusikia kwamba watoto wa huyu mzee walikuwa hawatumii jina la ukoo (Ndunguru) ila walikuwa wanatumia majina yao waliyopewa kama huyo Costantine Magavila (Constantine na Magavila yote ni yake aliyopewa alipozaliwa) ( Mwingine ni Martine Kolikoli , Martine na kolikoli yote ni yake hakuna jina la ukoo hapo) Jokate na mwegelo yote ni ya huyo jokate hakuna la ukoo hapo sababu ni kwamba huyo mzee alisema watumie majina yao tu bila jina la ukoo ili kama ukishafua jina lako kwa maisha utakayoishi basi uchafuke mwwenyewe usiharibu jina la ukoo mzima
Sasa utamwoa Jokate hupendi Uhai wako? Yale mabunduki na mavifaru ya Kihutu si yatakusagasaga mchana kweupeHivi kwanini Jokate hataki kuolewa? Tuanzie hapo nadhani, then tutabadilisha mada baadae.
mbona hata membe anatumia ubini wa mama huko lindi ni kitu cha kawaida sana
We jamaa always unawakiaga kwenye gia.. Hizi hasira kwa kila kitu unazitoaga wapi?Covid-19
Lets call spade a spade
Halafu anaitwa Ndunguru,akina Jokate yalivyo malimbukeni hayatumii jina Ndunguru sababu limekaa kienyeji na ni la mkoa wa kusini asilia
Mabishoo haya matoto,ndio maana ni ma failure
U-DC na sijui motivational speaker and other nonsenses ni ma-failure matupu..
Hayana respect with where they come from,with their origins,ubishoo umeyajaa haya matoto
Yameniudhi sana haya matoto,hovyo kabisa!
Mmatengo wa mbinga.Joketi ni mngoni
Niliwahi kusikia kwamba watoto wa huyu mzee walikuwa hawatumii jina la ukoo (Ndunguru) ila walikuwa wanatumia majina yao waliyopewa kama huyo Costantine Magavila (Constantine na Magavila yote ni yake aliyopewa alipozaliwa) ( Mwingine ni Martine Kolikoli , Martine na kolikoli yote ni yake hakuna jina la ukoo hapo) Jokate na mwegelo yote ni ya huyo jokate hakuna la ukoo hapo sababu ni kwamba huyo mzee alisema watumie majina yao tu bila jina la ukoo ili kama ukishafua jina lako kwa maisha utakayoishi basi uchafuke mwwenyewe usiharibu jina la ukoo mzima