sabosabo
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 2,050
- 5,066
Mkuu,kina John wapo wengi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,kina John wapo wengi!
@espy hebu ukuje huku auntieKuna mmama nilimtongoza pm huko,akaniambia ana mtoto anaitwa John!
Wewe hujuagi utanii... Najua ulifanya kweli mkuuHahaha
Ni utani tu
@espy hebu ukuje huku auntie
Sijaelewa mkuu
Ukimaliza shuguri zako nitafute ninaneno na weweNadhani katika ukoo ambao una members wengi wa jamiiforum Basi ni ukoo wangu mimi.ipo hivi Kuna siku nimerudi kutoka chuo ilikuwa weekend nikafika nyumbani baba akanipa simu nikamtolee hela tigo pesa kwa wakala nikaona Ana application ya JF Nikachungululia jina lake nikakuta Ni ID fulani japokuwa sio maarufu sana.bahati nzuri anashusha Sana nondo humu ndani jukwaa lake Ni siasa na lile la sport na ule Uzi wa vyakula anaupenda Sana na ule Uzi wa wazee wa kutupia mikeka anabet kumbe.hajui Kama Mimi ndege JOHN Ni mwanae.ningestaajabu Sana Kama ningekuta baba yangu ndo zero IQ au ningekuta Ni viatu vya samaki.bahati nzuri Ni ID Yenye heshima Sana humu ndani.
Kuna siku nyingine tena mama yangu akaniomba nimdownloadie UBER si ndo na yeye nikashangaa kukuta Ana JF kwenye simu yake nikaingia fasta nikakuta Ni fulani.nikabaki nacheka.yeye ID yake anapenda lile jukwaa la warembo na jukwaa la education.
Sikutaka kuchungulia PM zao.nisije kupofuka macho bure.kuna siku baba yangu alichangia kwenye Uzi wangu fulani hivi aliongea pumba fulani.na sio wazazi wangu pia shangazi yangu na yeye Ni member wa JF yeye jukwaa la picha humkosi.mwingine Ni mama yangu mdogo yeye Hana ID naonaga Ana Soma tu Kama guest.wote Hawa hawanijui Mimi Ni nani na Mimi nimejikausha tu najifanya siijui JF Nikiwa nao.
Sawa mkuu
Hahahaa... John ambaye sio ndege au?Kuna mmama nilimtongoza pm huko,akaniambia ana mtoto anaitwa John!
Lengo lako najua ni kuniachanisha na Auntie yakoWewe hujuagi utanii... Najua ulifanya kweli mkuu
Kuna mijitu kama mimi tulijaribu kumtongoza faiza Foxy bila kujua ni mbibi [emoji23][emoji23][emoji23]Niliwahi kutana na mama mmoja age 60+ anaperuzi jf nikajisemea dah jf unaweza kumkosea heshimu bibi yako
Namuachane tuu hakuna namna ingine mkuu... Anko wangu mo nampenda sanaLengo lako najua ni kuniachanisha na Auntie yako
Hahaaaahaaa!dahKuna mmama nilimtongoza pm huko,akaniambia ana mtoto anaitwa John!