Baba na mama yangu ni members wenzetu wa JF

Baba na mama yangu ni members wenzetu wa JF

Kumbe jf ni hatari unaweza kujikuta unaitana mkuu na baba/mama/shangazi/mjomba au ndugu yoyote aisee!

Mbaya zaidi mzee akichangia pumba unaweza kumwita popoma bure!

Jf itatupa laana bure!

Au ukakuta mama/baba ukamgaragaza kwenye hoja akaitwa popoma kwa ajili yako!

Tuweni makini!

"Heri mbwa hai kuliko Simba mfu"
 
Back
Top Bottom