Baba na mama yangu ni members wenzetu wa JF

Baba na mama yangu ni members wenzetu wa JF

Anatabia mbaya hapo hana tofauti nakuwachungulia chumbani

Sure, mwanaume kufanya hvyo ni dalili ya u-shosti, vitu vya wazazi havimuhusu labda tena haswa pale ambapo havina effects kwake.

Dume zima anawaza UMBEA tu hadi kwa simu za wazazi wake
 
Jf ndo maana huwa napitia stori zake kama burudani tu
Mtu atafungua uzi atasema alimaliza chuo 2009, leo atafungua mwingine atasema yuko mwaka wa kwanza [emoji1][emoji1]yaani tafarani tu na walivyo wasahaulifu watakaa kwa umakini kumsahaulisha
 
Back
Top Bottom