Baba niruhusu nizae

'Njia ya MUNGU inaweza isiwe rahisi, lakini ndio njia Bora KULIKO zote'
 
Anamuomba baba yake amruhusu kuzaa mbona ni ushetani au wewe baba unam....., anapaswa kumuomba Mungu.
Wadada wengi hasa graduates na employees wana choices sana ila umri ukiwapiga teke wanasahau choices wanaanza kukimbilia maombi na waganga🤣🤣🤣
 
Nimesoma bandiko lako na Majibu yako, hapa, Nimefurahishwa na vitu 2.

1. Kumlea huyo binti kwa dini ya wazazi wake ambayo ni tofauti na wewe.
2. Kumruhusu afanye kama roho yake itakayo muongoza kwa sababu huwezi kumtua huo msalaba anao upitia.

Itoshe kusema you are amongest the Wise man i have known in this platform
 
Ndoa ni majariwa mkuu, Tumewaona wengi pia ambao hawakua na choices lkn waliishia kutumika na kuachwa au kuzalishwa bila kuolewa
 
Sometimes mazingira hayakukutanishi na watu wanao weza kua partener wako, unaishia kua na very limited choices.

Watu wajifunze kubadiri mazingira
 
Hao mnaozaa nao, kwanini hawawaoi?
 
Asante
 
Mimi pia.tutaenda kuolewa mbinguni
 
Mtoto wa kike akiwa chuo anatakiwa atulie. Wakati wa chuo ndio umri sahihi wa kuolewa. Sasa wengi wao wakati huo ndio wanakuwa na mambo mengi.

Wanaume huwa wanaoa wanawake waliotulia.
Hata mavazi yake pia mtu aangalie. Kuna watu wanavaa kama wako uchi hakuna mwanaume ataoa mwanamke wa hivyo.
Lakini kama alitulia na ikatokea bahati mbaya hakupata wa kumuoa basi hapo huo ni mtihani kutoka kwa Mungu. Asikate tamaa nimeshuhudia wanawake kadhaa wakiolewa na miaka 40-42 ikiwa ni ndoa zao za kwanza
 
huyo binti yangu ni mtulivu sana,hanywi oombe,haendi disco na wala hatoki out hata siku moja,na haya sasa kaajiriwa mahali,yuko so decent,na wala havai nguo ambazo hazina stara,ni mwanamke ambae hana makuu,bado hajapata bahati tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…