Baba niruhusu nizae

Baba niruhusu nizae

Anazaa na nani, mwanaume ambae hawezi kumuoa anafaa kuwa mzazi mwenzie, huyo wa kumzalisha hawezi kumuoa.
Kupitia wanawake tofauti tofauti ni kweli wakifikisha miaka 30, bila ndoa wala mtoto inawatesa sana.
 
Kumbe tupo wengi.story yake inafanana na yangu kwa asilimia kubwa. mimi nilipofikisha umri huo nikaamua kuzaa bila ndoa. sasa hivi ni 36 na katoto kangu kana miaka miwili. nina mfurahia sana mtoto wangu sasa napambana kwa ajili yake. na nina amani mambo ya ndoa nilishayaweka kwenye dampo la taka sasa ni kupambana tu na maisha. unaweza subiri ndoa mwisho wa siku umri ukakuacha kabisa ndoa ukakosa na mtoto ukakosa vilevile.
Pole Sana Karbu tuyajenge
 
Back
Top Bottom