fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
- Thread starter
-
- #41
Ameishachagua mtu wa kuzaa nae,ni mkaka ambae hana kipato kikubwa,hawezi kuoa kwa sasa na kaishaamua kuwa atazaa tu bila kuolewaBaba mkwe nipigie chapuo iyo mimba iwe yangu ..mtoto awe na baraka za JF
Kama hauna familia bado, au una familia ila hauna mtoto wa kike huwezi jua machungu ambaayo mzazi/ mlezi anayapitia pindi hali kama hii ikijitokeza.Mwanaume uliaje bhana, unazingua
akili yako ni fupiUmemtupia majini au sio 🤣🤣🤣🏂🏂🏂 unataka umle mwenyewe na uzae nae 🤣🤣🤣
haha mmoja ananitosha madam nishaitwa mama inatosha. napambana kumtengenezea huyu mmoja kesho yake.Hautaki mtoto wa pili?
AminaMaisha ni mitihani! Kila la kheri kwake huyo binti/dada!
Unasema hana mtoto wakati umezaa naye banasitaki kuolewa na kitunguu maji. kile hivi mtu hajui maisha nini si kwamba ni mtoto mdogo ni mtu mzima na hana familia wala mtoto ila majukumu hataki wa nini sasa.
ni mwanangu,hakuna afanyacho haniambii,nampenda sana na kila siku namuombea memaMwanaune unajua hadi wanaune aliopita nao binti wa kumlea
Ni kweliDuh mahusiano ni magumu zaidi kwa wanawake mwe
Sio wote Kuna wanawake wanagombewa na wanaume hadi unashangaa nafikiri ni bahati lakini pia atafute hela sana akiwa nazo atapendwa tu na ataolewa Hata kama umri umeendaDuh mahusiano ni magumu zaidi kwa wanawake mwe
namaanisha hana mtoto tofauti na huyu nilozaa nae.Unasema hana mtoto wakati umezaa naye bana
Ikiwa ndefu inakuwa ya shetani Bora akili fupi nzuri za andunje kuliko kuwa zimwiakili yako ni fupi
Pole Sana Karbu tuyajengeKumbe tupo wengi.story yake inafanana na yangu kwa asilimia kubwa. mimi nilipofikisha umri huo nikaamua kuzaa bila ndoa. sasa hivi ni 36 na katoto kangu kana miaka miwili. nina mfurahia sana mtoto wangu sasa napambana kwa ajili yake. na nina amani mambo ya ndoa nilishayaweka kwenye dampo la taka sasa ni kupambana tu na maisha. unaweza subiri ndoa mwisho wa siku umri ukakuacha kabisa ndoa ukakosa na mtoto ukakosa vilevile.