Baba niruhusu nizae

Upo sahihi, Biblia inasema, matarajio ya Moyo ni ya anadamu jawabu la ulimi lapatikana kwa baba Mungu...
 
Wewe sio baba bora,kama uliruhusu Binti yake azae bila ndoa.......yamkini ndio uliyeruhusu tabia hatarishi za binti yako,.........atolewe bikira,afanye uzinzi,huku ukichekelea,kisha utegenee mwanaume aje kuoa "used item",..........
Na ushauri wako ni dhambi kwa mujibi wa uislam
 
Poleni sana, mambo ya kuoana siku hizi yamekuwa magumu sana. Wapo wanawake wengi ninawafahamu umri unaenda na hawaolewi, mahusiano yapo ila hayadumu. Sisi wanaume tunawakimbia tunakwenda kuona kwingine, hii ni mbaya sana. Unafikia muda inatakiwa uwe na familia lakini huna mara nyingi inaumiza hata ujikaze vipi.
 
Ni kweli basi tumuombee Mungu tu mwanangu
 
unajua wewe ni mjinga usiyejua jambo hili na umelidandia tu
 
Kuwa baba wa binti ni kazi kubwa sana, machungu yake sio madogo hasa kwa hiki kizazi tunacholea.

Atazaa sawa, at that age tunategemea hawezi kuishi mwenyewe. Ni aibu sana mwanamke 35+ huna stable relationship, anakuja huyu anadumu 1yr, anakuja yule six months, hata stara unakosa.
 
ndoa Ina heshima yake. Ndio mpango wa Mungu kwa mwanadamu. Tafuta kujua ni nini mapenzi ya Mungu kwako, ili uyafanye. Usidhani kuzaa ni lazima.
 
Mwanaune unajua hadi wanaune aliopita nao binti wa kumlea
Kasongo ye ye ee
Mobali na ngai

Kasongo nga nawe oo

Zonga libala ee

Kasongo yo yo, mobali na ngai

Kasongo nga nawe oo

Zonga libala ee

Nga na ndako Kasongo

miso na nzela

Soki okozonga dia ee

yebisa nga ye ee

Libala na ndako Kasongo

batunaka ngai

Tata azali wapi ee

naloba nini ee
 
tumuombee kwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…