Ugumu wangu
JF-Expert Member
- May 6, 2021
- 1,685
- 3,552
Jamani wana JF namtafuta huyu rafiki yangu wa siku nyingi sana humu Nyumba ya furaha, lakini simsikii kabisa baba Swalehe uko wapi nakutafuta mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah sasa ndio anisahau au bado yupo Chato anaomboleza au analinda kaburi?Atakuwa kalamba uteuzi, ana majukumu!
Everyday is Saturday... 😎
Tulia wewe hujui chochote wewe unaangalia upya wa ID unajua Nina Id ngapi?Kujiunga = May 6, 2021
Baba Swalehe = Rafiki yangu wa siku nyingi.
Taja ID zako nyengineTulia wewe hujui chochote wewe unaangalia upya wa ID unajua Nina Id ngapi?
Hahaha mkuu, pole sanaTaja ID zako nyengine
Hahahaha daah inawezekana aisee ila nimemsi kweliHuyu naye ni ant-mwendazake.
Labda baada ya kusiliba sana kifo cha mzee, na kukosa alichotarajia baada ya hapo. Akaona ajipe shughuli za kufanya na kubadili boxer jumla.
Baba Swalehe
Unajitafuta mwenyewe....Tulia wewe hujui chochote wewe unaangalia upya wa ID unajua Nina Id ngapi?
Namtafuta sijajitafuta mkuu pleaseUnajitafuta mwenyewe....
Acha mapepe.Tulia wewe hujui chochote wewe unaangalia upya wa ID unajua Nina Id ngapi?
Hahaha mmh haya ila pole sanaAcha mapepe.
Ungemuulizia kwa hizo id ngapi. Umeamua kuulizia hii subiri twende polepole.
Mkuu jistukie hemu wacha tumia misamiati laini zidi ya mwanaume mwenzio'nimemsi kweli'
Una ngapi mkuu?Tulia wewe hujui chochote wewe unaangalia upya wa ID unajua Nina Id ngapi?
Hapana mkuu nisamehe ila sina wazo Hilo ovuMkuu jistukie hemu wacha tumia misamiati laini zidi ya mwanaume mwenzio
Sasa najua unafahamu mtoto akilala na hela ni shida so jiongezeUna ngapi mkuu?
🤣🤣🤣 Kumbe ni mtaalamu wa Hilo dude pia!Yupo Mchikichini anafundisha Physics