Baba V kanifkishia taarifa ya kujitoa katika nafasi ya uenyekiti...

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
Hallo!
Taarifa rasmi, Baba V ameachia ngazi na kuniachia madaraka ya uenyekiti.
Source :
- vivian
- Baba V
- Mama v

nafanya mabadiriko ya katiba katika kifungu (a) mwanamke anaruhusiwa kuolewa na wanaume mwisho wawili, na kifungu (c) mwanaume anaruhusiwa kua na mwanamke mmoja tu.
nipo na wa taalamu tunaendelea kufanya maboreshe ya katiba.

angalizo: mke dadi kifungu namba (a) hakimuhusu.
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu manoah hapo upo na chupa ya kile kiwanda kilicho opposite na shule ya Uhuru mchanganyiko (Ilala) au?
 
ngoja niongeze wa pili wawe multiple choice
 
kifungu namba (a) haki kuruhusu, kinakubana mama, usitake dadi anitoe roho.. pia kifungu (c) hakimuhusu dadi yeye anaruhusiwa kua na wake wengi atakavyo na anavyo jisikia

ngoja niongeze wa pili wawe multiple choice
 
Hallo!
Taarifa rasmi, Baba V ameachia ngazi na kuniachia madaraka ya uenyekiti.
Source :
- vivian
- Baba V
- Mama v

nafanya mabadiriko ya katiba katika kifungu (a) mwanamke anaruhusiwa kuolewa na wanaume mwisho wawili, na kifungu (c) mwanaume anaruhusiwa kua na mwanamke mmoja tu.
nipo na wa taalamu tunaendelea kufanya maboreshe ya katiba.

angalizo: mke dadi kifungu namba (a) hakimuhusu.

We mwana we si ungeomba hata urogwe na maji marefu kuliko mimi, Futa kauli yako haraka sana kabla sijafanya kitu hapa hadi wana chit chat wote waseme shikamoo....
Copy: ummu kulthum (usijiingize kwenye huu uhaini wa manoah)
 
Last edited by a moderator:
Naunga mkono hoja Baba V aondolewe maana anajipendelea kwa kuwa na madaraka hat ya kuchukua wake zetu kisa yey ni mwenyekiti.
Copy to Erickb52 na watu8
 
Last edited by a moderator:
manoah naona umekuja kufanya mapinduzi ndugu... mi ninavyo mjua huyo jamaa anapenda madaraka ka Museveni.... sasa unaposema ameachia ngazi..... mhh.. ngumu kumesa aiseee....
 
Last edited by a moderator:
kaka yangu Judgement hapa nipo na Baba V na mwanae vivian nyumbani kwake... opposite na kiwanda ni hadi jioni[/QUOTE

Nilikushauri kuwa usichanganye Konyagi na Valuer hukuniskia, ona sasa, ntamshauri Bishanga akupige ban kwenda home kwani huchelewi kumtongoza maza ako kwa ulevi uliofikia...
 
Last edited by a moderator:
Naunga mkono hoja Baba V aondolewe maana anajipendelea kwa kuwa na madaraka hat ya kuchukua wake zetu kisa yey ni mwenyekiti.
Copy to Erickb52 na watu8

Wewe jiangalie wewe... nilishamchukua mkeo!?? hivi mnafikiri uwenyekiti ni jambo dogo..!?? siwezi kumwachia madaraka mtu DHAIFU...
Copy: mimisa, Ciello e.t.c
 
Hivi hiki cheo kuna ulaji gani au ulaji ni kulamba wake za watu?
 
Mdogo wangu manoah hapo upo na chupa ya kile kiwanda kilicho opposite na shule ya Uhuru mchanganyiko (Ilala) au?

Nafuu yangekuwa maji ya Ilala, hapo keshapiga bapa kubwa tatu za Mabibo distilers, tusipomwangalia huyu atatongoza hadi wanaume hapa...
 
Last edited by a moderator:
Kwanza muda wako wa uongozi umeisha wacha tufanye uchaguzi mpya tupate mwenyekiti mpya bana unakaa madarakani mpaka unakuwa dictator hii sio halali bana
Tutafanya mapinduzi
Copy Judgment Mamndenyi stevoh
 
Last edited by a moderator:
Baba V..nimepata copy..mimi hujawahi kunichukua..sijui kwa wenzangu!..duh..kumbe madaraka matamu ee
Wewe jiangalie wewe... nilishamchukua mkeo!?? hivi mnafikiri uwenyekiti ni jambo dogo..!?? siwezi kumwachia madaraka mtu DHAIFU...
Copy: mimisa, Ciello e.t.c
 
Last edited by a moderator:
Hivi hiki cheo kuna ulaji gani au ulaji ni kulamba wake za watu?

Taratibu nitonye, nani alishawahi kulalamika kulambiwa mkewe na mwishimiwa mwenyekiti!? hiki cheo kinahitaji mtu mwenye busara na aliye msafi kama mimi.. huyu manoah kajaa makashfa afu eti mie nimwachie madaraka...!? no way...
 
Last edited by a moderator:
Sasa Baba V kama hakina ulaji mbona unang'ang 'ania kuwa nacho si ukiachie aise
 
Last edited by a moderator:
Kwanza muda wako wa uongozi umeisha wacha tufanye uchaguzi mpya tupate mwenyekiti mpya bana unakaa madarakani mpaka unakuwa dictator hii sio halali bana
Tutafanya mapinduzi
Copy Judgment Mamndenyi stevoh

naona una hasira mwimba kwaya vp umeshapata mafunzo kutoka m23?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom