Baba V kanifkishia taarifa ya kujitoa katika nafasi ya uenyekiti...

Baba V kanifkishia taarifa ya kujitoa katika nafasi ya uenyekiti...

Donn tatizo la huyu mtu ni kigeugeu sana, tumeelewana nae kua anaachia ngazi

manoah naona umekuja kufanya mapinduzi ndugu... mi ninavyo mjua huyo jamaa anapenda madaraka ka Museveni.... sasa unaposema ameachia ngazi..... mhh.. ngumu kumesa aiseee....
 
Last edited by a moderator:
unajivunia kutembea na mke wa watu eeh? kisa uenyekiti ustaafu?

Wewe jiangalie wewe... nilishamchukua mkeo!?? hivi mnafikiri uwenyekiti ni jambo dogo..!?? siwezi kumwachia madaraka mtu DHAIFU...
Copy: mimisa, Ciello e.t.c
 
hiyo ni dhambi kuu... angalia usije shukiwa na fire hapo ulipo

Nafuu yangekuwa maji ya Ilala, hapo keshapiga bapa kubwa tatu za Mabibo distilers, tusipomwangalia huyu atatongoza hadi wanaume hapa...
 
Back
Top Bottom