Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,111
mmbishi kwa wengine , kwangu hana ubishi... akileta ubishi na mie nakua mmbishi mwisho wa siku namtibulia madili yake yoteeeeeeee
Sasa halafu hili suala la msingi tulikuwa hatujaongea, sasa kwa kupitia cheo chako kipya si utaanza kubariki na safari zangu za kwenda kwa kina mimisa?
Last edited by a moderator: