Baba V kanifkishia taarifa ya kujitoa katika nafasi ya uenyekiti...

Baba V kanifkishia taarifa ya kujitoa katika nafasi ya uenyekiti...

Baba V umekubali kuachia madaraka hivi hivi?

Hivi bado tu hujatambua kuwa huyo dogo mwezi mchanga!? Tena nahsi ulimshtukia mapema ukajitoa otherwise ungekuwa kituko ati
 
Last edited by a moderator:
unabishana na Mwenyekiti wako? fika ofisini kwangu kesho hasubuhi sana........

Hivi bado tu hujatambua kuwa huyo dogo mwezi mchanga!? Tena nahsi ulimshtukia mapema ukajitoa otherwise ungekuwa kituko ati
 
thubutu yako..utaikimbia jamhuri hii na madaraka ulompoka Baba V ukiwa hujayafaidi
 
Last edited by a moderator:
kama mwenyekiti nisio fungamana na upande wowote nakupa ridhaa ya kuuliza member humu jamvini kuhusu hiyo kitu, then utaniletea majibu......

...nauliza enyi wana Cc kuna hawa ndugu zetu wenye rangi mbili (shemale) sheria inasemaje kuhusu wao? vp ndoa zao manoah atahimili mikiki mikiki? ni hayo tu.
 
Last edited by a moderator:
This for you dadi....
jkjk.jpg
​

manoah......una akili sana wewe!
copi: Baba V
 
Back
Top Bottom