Baba V kanifkishia taarifa ya kujitoa katika nafasi ya uenyekiti...

Baba V kanifkishia taarifa ya kujitoa katika nafasi ya uenyekiti...

mie ndio mwenyekiti mpya, utake usitake na kuanzia sasa usitie mguu wako ofisini

Taratibu nitonye, nani alishawahi kulalamika kulambiwa mkewe na mwishimiwa mwenyekiti!? hiki cheo kinahitaji mtu mwenye busara na aliye msafi kama mimi.. huyu manoah kajaa makashfa afu eti mie nimwachie madaraka...!? no way...
 
Last edited by a moderator:
naelekea kumtafuta amu alipo, kama unajua alipo nielekeze..........

Unamuongelea amu yule binti mbishi kama nini!!? tafadhali ndugu yangu atakuharibia mudi yule!! ohooo
 
Last edited by a moderator:
mmbishi kwa wengine , kwangu hana ubishi... akileta ubishi na mie nakua mmbishi mwisho wa siku namtibulia madili yake yoteeeeeeee

Unamuongelea amu yule binti mbishi kama nini!!? tafadhali ndugu yangu atakuharibia mudi yule!! ohooo
 
majany my shemeji ndoa yako nita i re new sawa sawa?
kuanzia sasa wewe na mme harali wa dada yangu Zion Daughter , nenda ukaishi nae kwa amani na mmbarikiwe mlee na familia yenu vyema. kila la kheri

Hureeeee....ona sasa na bwana anaendelea kutenda miujiza yake....!!!!

C.c Pastor Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom