Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Hallo!
Taarifa rasmi, Baba V ameachia ngazi na kuniachia madaraka ya uenyekiti.
Source :
- vivian
- Baba V
- Mama v
nafanya mabadiriko ya katiba katika kifungu (a) mwanamke anaruhusiwa kuolewa na wanaume mwisho wawili, na kifungu (c) mwanaume anaruhusiwa kua na mwanamke mmoja tu.
nipo na wa taalamu tunaendelea kufanya maboreshe ya katiba.
angalizo: mke dadi kifungu namba (a) hakimuhusu.
ngoja niongeze wa pili wawe multiple choice
Hallo!
Taarifa rasmi, Baba V ameachia ngazi na kuniachia madaraka ya uenyekiti.
Source :
- vivian
- Baba V
- Mama v
nafanya mabadiriko ya katiba katika kifungu (a) mwanamke anaruhusiwa kuolewa na wanaume mwisho wawili, na kifungu (c) mwanaume anaruhusiwa kua na mwanamke mmoja tu.
nipo na wa taalamu tunaendelea kufanya maboreshe ya katiba.
angalizo: mke dadi kifungu namba (a) hakimuhusu.
Mdogo wangu manoah hapo upo na chupa ya kile kiwanda kilicho opposite na shule ya Uhuru mchanganyiko (Ilala) au?