Nilikuwa Leo tupo hapa Pub,katika stuli ya kaunta nikamuona
Madame B anavua pete yake.nikaona ngoja nijongee karibu,nikamsogelea nikaketi karibu yake na kumuuliza jina lake.
Baada ya kilevi kumkolea akanijibu
'mimi
Madame B sio mkimbizi lakini nimeacha kuishi kwa ndoto,nina njaa na kicheko,nipo tayari kwa chochote kitakachojiri'
kwenye kioo nikamuona
Arushaone anakuja,akamsogelea
Madame B huku sura yake ikiwa na uchungu.
Moyo ukalia paaa hapa nimeshikwa.
Arushaone alikuwa amenenepa,na kitambi kikubwa,shingo haionekani kwa unene,nikajiona kama nimekufa.
Ghafla akaanza kutetemeka na moyo wake ulioumizwa akaanza kumlilia SASA MKUU kama
Madame B akimtaliki mume anavua pete ya ndoa na kumrejeshea, kwa idadi ya hao waume si atakua na pete hadi kwenye vidole vya miguu?
Au?