Baba V: wa Mahusiano......Madame B nabwaga Manyanga kwa huyu.

Madame B nakuta sherehe njema ya talaka. Nikirudi toka safari unioneshe picha.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mh! shost unanitia aibu mm nyakanga wako, si tulishaongea kuwa ndoa ni uvumilivu sasa wewe yanakushinda nn? inabidi nimuite kungwi wako snowhite turudie tena mafundisho, kwetu ni mwiko kushindwa ndoa, inachotakiwa Arushaone, ashindwe yeye. tena hakuna kulia maana utaonyesha udhaifu wako, gangamala hivyo hivyo, hata kama unaumia moyoni usionyeshe kuwa umeumia.

nitarudi baadaye ngoja niweke kikao kidogo kwa ajili yako.
 
@Madame B

before.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…