Baba V: wa Mahusiano......Madame B nabwaga Manyanga kwa huyu.

Hana lolote huyo asikuumize kichwa Judgement wangu, kazi yake kuchovyachovya tu ndio mana Madame B amempa talaka.
 
Last edited by a moderator:
Huna lolote, fungu la kukosa........

Ukimueka kwenye fungu la kukosa, still yet ni kama unamuonea soni, huyu yuko fungu la MUFLIS !
Sabuni na bright light vitamhusu!
 
Madame B najua unajua jinsi gani navyokuhusudu mamie.. Karibu njoo utulize mtima na akili yako. Nakuahidi utafuhiiii
 
Madame B acha kumtisha mwenzio.

Mwache achukue nafasi yangu. Si umetoa tangazo kwamba kuna nafasi ya kujaza hapo juu?
Arushaone wewe si umeshabwagwa? Bado haujaacha asili ya kwenu ya kutafuta mrithi tu?

Ha ha ha Madame B ni wangu peke yangu.Sisi ni liberal tumeruhusu kila mtu kuwasiliana nasizitiza KUWASILIANA in good terms na Ex wake ila sasa wewe usilete uswahili wa kutafuta mrithi wa nafasi yako
 
Last edited by a moderator:
Ohh yeahh baby Remote.
Madame B

Hii ni nini au unataka uchote mshiko wake tukawekeze,tununue hisa za TBL na nyingine tufungue showroom ya magari?Angalia jamaa asije akajiua kwa kuhamisha fedha za madeni ya nje tena hapo Hazina anakofanya kazi....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…