Baba V: wa Mahusiano......Madame B nabwaga Manyanga kwa huyu.

Madame B

Hii ni nini au unataka uchote mshiko wake tukawekeze,tununue hisa za TBL na nyingine tufungue showroom ya magari?Angalia jamaa asije akajiua kwa kuhamisha fedha za madeni ya nje tena hapo Hazina anakofanya kazi....

Hapana mpenzi wangu.
Unajua hawa vijana wa humu CC ni ving'ang'anizi sana.
Kuna huyu Bishanga na mwenzake Baba V, huwa wananipigia misele kila uchao.
Mie siwataki kabisa.
Ben Saanane wangu, waambie siwataki hasa huyu mtalaka wangu Arushaone.
 
Last edited by a moderator:

Tena bora umwambie huyo Arushaone, talaka nimeshampa lakini bado ananifatafata.
 
Last edited by a moderator:
Hapana mpenzi wangu.
Unajua hawa vijana wa humu CC ni ving'ang'anizi sana.
Kuna huyu Bishanga na mwenzake Baba V, huwa wananipigia misele kila uchao.
Mie siwataki kabisa.
Ben Saanane wangu, waambie siwataki hasa huyu mtalaka wangu Arushaone.

We mtoto mbona huishi kunitaja....!?? nina nini mie na uzee wangu huu..., BTW kuna mtu anaitwa Mlachake kaanzisha uzi hapa CC anasema kafika bei kwako. Hivi hiyo kitu yako ilitengenezewa "matirio" gani ati...!??
 
Nakuamini mahabuba wangu....! Leo nitatoka Ofisini mapema.I hope hangover imeisha....!

CC😡Arushaone Bishanga

CC:Baba V.....linda heshima yako.Unajua nina heshima na wewe sana.Huo uenyekiti wako ndo unataka kuutumia kupigia totoz misele
 
Matirio yangu ya rababend, inaelekea kokote ivutwapo.
Tena nyie wazee ndio mmezidi misele kwangu.
Mlachake ni shemeji yangu kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Kha!
Huz wangu una wivu wewe.

Mtu chake mamie....

Mtu mwenyewe anajiita Remote.Sijui hata ukitaka kumuita romantically utamuitaje. can you imagine ati umuite 'oh remote wangu jamani' mara 'My remote' au 'Remo' wangu sijui 'remote yangu mpenzi' ha ha ha...in public watu watapoint kwenye TV table au utaletewa kifaa cha Electronic.
 
Nakuamini mahabuba wangu....! Leo nitatoka Ofisini mapema.I hope hangover imeisha....!

CC😡Arushaone Bishanga

CC:Baba V.....linda heshima yako.Unajua nina heshima na wewe sana.Huo uenyekiti wako ndo unataka kuutumia kupigia totoz misele

Waambie kbs.
Tena waambie huku umekuja kupunguza stress bhana.
 
Last edited by a moderator:

Ndo mana twapendana switii.
Mie ni hapo tu wan'koshaga, hujijui tu.
Si unajua mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe!
Watuache tupumuwe wangu.
 
Yani Madame B bora hata ulivyojitoa kwa huyo mswati, angekupotezea muda bure sambamba na kukuzeesha.

Yani, yani, yani,
cjui hata nisemeje.
Mwanaume gubu yule sijampatia mwenzake.
Na ningefanya mchezo, ningezeekea kwake YNNAH.
Kha!
 
Last edited by a moderator:
Ndo mana twapendana switii.
Mie ni hapo tu wan'koshaga, hujijui tu.
Si unajua mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe!
Watuache tupumuwe wangu.

Unavyojishebedua. . . . .utadhani utadumu naye kha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…