Baba wa Kambo acheni kuchapa watoto wadogo wa wake zenu mnajidhalilisha

Unakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs, uliza kosa sasa, eti aliruka juu ya makochi, mara oooh alipeleka masufuria sebuleni.

Mara oooh alichora ukuta , ooh anahangaika Sana hatulii.

Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na mama yake sio wewe mwanaume mzima kutumia minguvu yako kumpa kipigo mtoto kama huyo. Sema Tu humpendi

Kuna Yule kijana ambae Jana amemuoa binti wa Ruto alieleza jinsi Baba yake wa kambo alikuwa hampendi na alimtesa sana. Leo hii sijui anaweka wapi sura yake.

Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako. Hiyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa angalia tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao, malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniania.
nilikuja kujujua kuwa nalelewa na baba wa kambo nikiwa naingia kidato cha nne...miaka hiyo ya zamani.
hadi leo nimejiattach na baba yangu mlezi zaidi ya nilivyo kwa baba yangu mzazi.

huyu mzee ana watoto wengine 3, ambao wote ni wadogo kwangu...ngumu sana kujua tofauti zetu.
mdogo wangu wa mwisho alikuja kujua kuwa nina baba mwingine siku ya harusi yangu, na alishangaa sana.

nataka kusema kuna malezi mengine ni yakipekee sana, kuna wanaume ni wanaume haswaa.
sijui ningekuwaje kama ningebaguliwa katika utoto wangu.
 
Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako. Hiyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa angalia tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao, malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniania.
Hizi baraka zimeandikwa wapi?
 
Mtoto wa miaka mitatu ,minne unampigia nini mwanaume mzima?
Mtoto wa umri huo lazima apigwe sema kuna upogaji wake, Kwa Umri huo mtoto ananza kujifunza tabia nzuri na mbaya, ndiyo maana Watoto wa pwani hawana tabia njema kwasababu hawapati malezi ya Baba na wanapata malezi Ya Mama ndiyo maana wanakua na tabia ya kutukana matusi hovyo hovyo tu, kukuta mtoto kutoka Bara anatukana matusi ni ngumu.
 
Kuna wakati nilikuwa Nachapa kibao watoto wakinywa dawa ile anajitapisha 😎

NB: ni mgonjwa hapo bado natia mbata.!

Na ilikuwa inafanya kazi zaidi ya sana.!

Itoshe kusema Singo maza Pelekeni watoto wakalelewe na Baba zao

Malalamiko hayasaidii
Mtoto akichapwa anakua na adabu na anakua anajua jambo baya na zuri kwa haraka.
 
Kakimbia uzi wake.
Baba mzazi yuko kitambaa cheupe na kula bia n malaya hataki kubalikiwa?km kafa peleka kwa ndugu z baba.
Kazi ni kipimo cha utu
Mkuu kuna mdada nilikua na msikiiza anatoa Mada kwa Single mother,
Mada yake alikua anawambia hao Single mother waliolewa na wanaume ambao siyo Baba watoto wao wajiongeze wajenge Nyumba na kununua mashamba kwajili ya mtoto wake, akatoa mfano wa kesi Moja kuna Single Mother aliolewa akazaa watoto 4 huyo Mume wake sasa huyo Singles mother akamleta mtoto wake wa nje ya ndoa wakawa wanaishi pamoja na mumewe na watoto Sasa Huyo Mume wake akafariki baada ya Msiba kuisha ikabidi kwenye kugawana mirathi Wazai wa upande wa Mume wakamwambia yule mtoto wa Single mother hawamtambui na aondoke aende kwao. Sasa huyo Single mother akawa anapinga na kusema mtoto wake ana haki ya kupata mirathi na huyo mtoto hana pakwenda na kama mali na yeye huyo Single mother kuna nguvu yake.
 
Unakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs, uliza kosa sasa, eti aliruka juu ya makochi, mara oooh alipeleka masufuria sebuleni.

Mara oooh alichora ukuta , ooh anahangaika Sana hatulii.

Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na mama yake sio wewe mwanaume mzima kutumia minguvu yako kumpa kipigo mtoto kama huyo. Sema Tu humpendi

Kuna Yule kijana ambae Jana amemuoa binti wa Ruto alieleza jinsi Baba yake wa kambo alikuwa hampendi na alimtesa sana. Leo hii sijui anaweka wapi sura yake.

Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako. Hiyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa angalia tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao, malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniania.

Baba yake mzazi angekuwa anampenda huyo mtoto asingemuacha alelewe na Baba wa kambo.
 
Mtoto wa umri huo lazima apigwe sema kuna upogaji wake, Kwa Umri huo mtoto ananza kujifunza tabia nzuri na mbaya, ndiyo maana Watoto wa pwani hawana tabia njema kwasababu hawapati malezi ya Baba na wanapata malezi Ya Mama ndiyo maana wanakua na tabia ya kutukana matusi hovyo hovyo tu, kukuta mtoto kutoka Bara anatukana matusi ni ngumu.
watoto wa pwani tena wamefanya nn😂
 
Unakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs, uliza kosa sasa, eti aliruka juu ya makochi, mara oooh alipeleka masufuria sebuleni.

Mara oooh alichora ukuta , ooh anahangaika Sana hatulii.

Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na mama yake sio wewe mwanaume mzima kutumia minguvu yako kumpa kipigo mtoto kama huyo. Sema Tu humpendi

Kuna Yule kijana ambae Jana amemuoa binti wa Ruto alieleza jinsi Baba yake wa kambo alikuwa hampendi na alimtesa sana. Leo hii sijui anaweka wapi sura yake.

Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako. Hiyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa angalia tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao, malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniania.
Mpeleke kwa baba yake au bibi yake siku utakuta maiti
 
Wanaume jifunzeni kuwa na kiasi.
 
Back
Top Bottom