Mawazo yangu yakiboya kweli asee 😁😁Hahahaha ulidhani kuchapa kuleeee
Yaki mzabzabMawazo yangu yakiboya kweli asee 😁😁
Pure mzabzab mafire 🔥 😅😅Yaki mzabzab
Ni kweli ila sio kwa kumsushia kipigoKiongozi ipo hivi,kulea mtoto siyo kuleta tu chakula mezani na kumnunulia midoli na katuni.ni pamoja na kumfundisha maadili mema.Akiharibika baadae napo mtasema baba wa kambo hakumfunza vyema.
Tusichoshane kama ulizaa na mtu huyohuyo atatunza watoto wake na si kubeba watoto wako kupeleka kwingine wakapendwe unless baba yao hayupo duniani! Na single mothers ambao nawaonea huruma ni wale tu waliofiwa zaidi ya hapo labda unipe genuine reason zikae akilini mwanguYeah na wabarikiwe kwa kulea watoto wao wenyewe 😂
Anatupa vibe za wahenga "Ukipenda boga penda na ua lake" Muhuni kapenda Boga tu,he don't give a damn about Ua...Wanataka kulazimisha kuonyesha kuwa wanaume wasiotaka kuoa single maza ni inmature or wana roho mbaya wakati bby daddy zao ndio wana roho mbaya
We ndo tuoneshe waliobarikiwa kwa kulea watoto wa kamboNionyeshe mmoja ambae hakubarikiwa
Hahahaha we hujui?Tushasanuka single mother ni mradi
Hahahaha,dahSingle maza ni janga la Taifa
Kama wanabarikiwa basi mpe kaka yako, Baba yako au mjomba wako huyo mtoto amlee ili wabarikiwe wao maana wao pia sio wazazi wa huyo mtoto.Nionyeshe mmoja ambae hakubarikiwa