Baba wa Kambo acheni kuchapa watoto wadogo wa wake zenu mnajidhalilisha

Utabarikiwa kwa kulea watoto wa wanaume wenzako vizuri? Hili naliona hapa, labda useme huyo mwanaume ni marehemu, ila jamaa limekaa bar na malaya mimi nibarikiwe kwa kumsaidia malezi?
 
Unakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs .uliza kosa sasa ,eti aliruka juu ya makochi,mara oooh alipeleka masufuria sebuleni
Mara oooh alichora ukuta ,ooh anahangaika Sana hatulii
Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na mama yake sio wewe mwanaume mzima kutumia minguvu yako kumpa kipigo mtoto kama huyo.sema Tu humpendi
Kuna Yule kijana ambae Jana amemuoa binti wa ruto alieleza jinsi Baba yake wa kambo alikuwa hampendi na alimtesa sana.leo hii sijui anaweka wapi sura yake.
Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako.
Hyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa.angalia Tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao .malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniani.a
Dada we ni singo maza? Shida ndo inapoanzia usimguse mtoto WA singo maza hata kumkanya akikosea ni ugomvi
 
Kinga dhaifa ni hii
-"mtoto wa kambo akikosea anatakiwa apigwe na mamake tu"

Wakati huo huo unawataka wababa wawatunze watoto wa kambo na ukafunika kombe kwa kusema kuwa ukimtunza mara utabarikiwa, Mara mtoto wa ruto sijui kafanyaje, mara kuwa baba kwa mtoto wa kambo.....

....hyo ni redflag kuwa baba wa kambo ni kutunza na kumpa huduma zote nzuri, lakini kumkanya na kumuadhibu huyo mtoto ni kazi ya mama yake aliyekaribu, maana babake yupo mbali...huo nao ni upumbavu mwingine...

kama unajua huna nyota ya kuolewa au kuishi na mwanaume acheni kupanua panua mapaja na kuleta shida duniani na kuwapa mizigo wanaume wasiohusika!

....tulieni hadi mjipate au mpate fedha zenu ili ukizaa umtunze mwenyewe na kumchapa mwenyewe.....

NAENDELEA KUAMINI KUHUSU YANAYOONGELEWA KUHUSU HAWA WANAWAKE WANAOJIUZA NA KUJA NA MAJINA MAZURI YA KIINGEREZA YA "SINGLE MOTHER"
 
Unakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs .uliza kosa sasa ,eti aliruka juu ya makochi,mara oooh alipeleka masufuria sebuleni
Mara oooh alichora ukuta ,ooh anahangaika Sana hatulii
Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na mama yake sio wewe mwanaume mzima kutumia minguvu yako kumpa kipigo mtoto kama huyo.sema Tu humpendi
Kuna Yule kijana ambae Jana amemuoa binti wa ruto alieleza jinsi Baba yake wa kambo alikuwa hampendi na alimtesa sana.leo hii sijui anaweka wapi sura yake.
Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako.
Hyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa.angalia Tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao .malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniani.a
Mimi ntakua baba wa kambo wa mtoto ambae BABA YAKE AMEFARIKI NA MPAKA NIONE KABULI LAKE.

NB. Mwanzisha thread mbona povu sanaa kulikonii
 
Kinga dhaifa ni hii
-"mtoto wa kambo akikosea anatakiwa apigwe na mamake tu"

Wakati huo huo unawataka wababa wawatunze watoto wa kambo na ukafunika kombe kwa kusema kuwa ukimtunza mara utabarikiwa, Mara mtoto wa ruto sijui kafanyaje, mara kuwa baba kwa mtoto wa kambo.....

....hyo ni redflag kuwa baba wa kambo ni kutunza na kumpa huduma zote nzuri, lakini kumkanya na kumuadhibu huyo mtoto ni kazi ya mama yake aliyekaribu, maana babake yupo mbali...huo nao ni upumbavu mwingine...

kama unajua huna nyota ya kuolewa au kuishi na mwanaume acheni kupanua panua mapaja na kuleta shida duniani na kuwapa mizigo wanaume wasiohusika!

....tulieni hadi mjipate au mpate fedha zenu ili ukizaa umtunze mwenyewe na kumchapa mwenyewe.....

NAENDELEA KUAMINI KUHUSU YANAYOONGELEWA KUHUSU HAWA WANAWAKE WANAOJIUZA NA KUJA NA MAJINA MAZURI YA KIINGEREZA YA "SINGLE MOTHER"
Sorry single mother sio jina zuri mkuu
 
Unakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs .uliza kosa sasa ,eti aliruka juu ya makochi,mara oooh alipeleka masufuria sebuleni
Mara oooh alichora ukuta ,ooh anahangaika Sana hatulii
Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na mama yake sio wewe mwanaume mzima kutumia minguvu yako kumpa kipigo mtoto kama huyo.sema Tu humpendi
Kuna Yule kijana ambae Jana amemuoa binti wa ruto alieleza jinsi Baba yake wa kambo alikuwa hampendi na alimtesa sana.leo hii sijui anaweka wapi sura yake.
Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako.
Hyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa.angalia Tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao .malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniani.a
Inasikitisha Sana.
 
Hizo adhabu ndogo ndogo ambazo inatakiwa apewe mtoto mdogo ndio zipi?

Siungi mkono kwa mtoto wa miaka 5 kuchapwa.
 
Baada ya wewe kuona huyo mtoto ana chapwa,umechukua hatua gani? Au ndio umekimbilia tu huku JF?

Hivi kati ya Baba wa kambo na Mama wa kambo,ni nani anayeongoza kwa kutesa watoto ambao sio wake? Au wanawake wao kutesa watoto wa kambo ni sawa?
 
Back
Top Bottom