Baba wa Kambo acheni kuchapa watoto wadogo wa wake zenu mnajidhalilisha

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,886
Unakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs, uliza kosa sasa, eti aliruka juu ya makochi, mara oooh alipeleka masufuria sebuleni.

Mara oooh alichora ukuta , ooh anahangaika Sana hatulii.

Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na mama yake sio wewe mwanaume mzima kutumia minguvu yako kumpa kipigo mtoto kama huyo. Sema Tu humpendi

Kuna Yule kijana ambae Jana amemuoa binti wa Ruto alieleza jinsi Baba yake wa kambo alikuwa hampendi na alimtesa sana. Leo hii sijui anaweka wapi sura yake.

Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako. Hiyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa angalia tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao, malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniania.
 
Unakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs .uliza kosa sasa ,eti aliruka juu ya makochi,mara oooh alipeleka masufuria sebuleni
Mara oooh alichora ukuta ,ooh anahangaika Sana hatulii
Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na mama yake sio wewe mwanaume mzima kutumia minguvu yako kumpa kipigo mtoto kama huyo.sema Tu humpendi
Kuna Yule kijana ambae Jana amemuoa binti wa ruto alieleza jinsi Baba yake wa kambo alikuwa hampendi na alimtesa sana.leo hii sijui anaweka wapi sura yake.
Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako.
Hyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa.angalia Tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao .malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniani.a
Baba zao wako wapi ili wakalelewe vizuri?
 
Hapo kwenye kubalikiwa kwa kulea watoto wa wengine ni probability.
 
Kiongozi ipo hivi,kulea mtoto siyo kuleta tu chakula mezani na kumnunulia midoli na katuni.ni pamoja na kumfundisha maadili mema.Akiharibika baadae napo mtasema baba wa kambo hakumfunza vyema.
 
Nionyeshe mmoja ambae hakubarikiwa
 
Unakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs .uliza kosa sasa ,eti aliruka juu ya makochi,mara oooh alipeleka masufuria sebuleni
Mara oooh alichora ukuta ,ooh anahangaika Sana hatulii
Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na mama yake sio wewe mwanaume mzima kutumia minguvu yako kumpa kipigo mtoto kama huyo.sema Tu humpendi
Kuna Yule kijana ambae Jana amemuoa binti wa ruto alieleza jinsi Baba yake wa kambo alikuwa hampendi na alimtesa sana.leo hii sijui anaweka wapi sura yake.
Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako.
Hyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa.angalia Tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao .malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniani.a
Huyo Baba Ana Chuki
 
Back
Top Bottom