nilikuja kujujua kuwa nalelewa na baba wa kambo nikiwa naingia kidato cha nne...miaka hiyo ya zamani.Unakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs, uliza kosa sasa, eti aliruka juu ya makochi, mara oooh alipeleka masufuria sebuleni.
Mara oooh alichora ukuta , ooh anahangaika Sana hatulii.
Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na mama yake sio wewe mwanaume mzima kutumia minguvu yako kumpa kipigo mtoto kama huyo. Sema Tu humpendi
Kuna Yule kijana ambae Jana amemuoa binti wa Ruto alieleza jinsi Baba yake wa kambo alikuwa hampendi na alimtesa sana. Leo hii sijui anaweka wapi sura yake.
Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako. Hiyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa angalia tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao, malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniania.
Hizi baraka zimeandikwa wapi?Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako. Hiyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa angalia tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao, malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniania.
Mtoto wa umri huo lazima apigwe sema kuna upogaji wake, Kwa Umri huo mtoto ananza kujifunza tabia nzuri na mbaya, ndiyo maana Watoto wa pwani hawana tabia njema kwasababu hawapati malezi ya Baba na wanapata malezi Ya Mama ndiyo maana wanakua na tabia ya kutukana matusi hovyo hovyo tu, kukuta mtoto kutoka Bara anatukana matusi ni ngumu.Mtoto wa miaka mitatu ,minne unampigia nini mwanaume mzima?
Mtoto akichapwa anakua na adabu na anakua anajua jambo baya na zuri kwa haraka.Kuna wakati nilikuwa Nachapa kibao watoto wakinywa dawa ile anajitapisha π
NB: ni mgonjwa hapo bado natia mbata.!
Na ilikuwa inafanya kazi zaidi ya sana.!
Itoshe kusema Singo maza Pelekeni watoto wakalelewe na Baba zao
Malalamiko hayasaidii
Mkuu kuna mdada nilikua na msikiiza anatoa Mada kwa Single mother,Kakimbia uzi wake.
Baba mzazi yuko kitambaa cheupe na kula bia n malaya hataki kubalikiwa?km kafa peleka kwa ndugu z baba.
Kazi ni kipimo cha utu
π unampiga kwenye nyayo na chelewa hakuachagi alamaYule dada etu mtoto wa ba mkubwa alikua anatuambia eti mtoto wake akikosea AAMBIWE YEYE NDIO AMUADHIBU MAANA SISI HATUJUI PA KUPIGA βΊοΈπ
Anampiga konzi au makofi ya kalebuπ unampiga kwenye nyayo na chelewa hakuachagi alama
KOfi linaacha alamaAnampiga konzi au makofi ya kalebu
Unakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs, uliza kosa sasa, eti aliruka juu ya makochi, mara oooh alipeleka masufuria sebuleni.
Mara oooh alichora ukuta , ooh anahangaika Sana hatulii.
Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na mama yake sio wewe mwanaume mzima kutumia minguvu yako kumpa kipigo mtoto kama huyo. Sema Tu humpendi
Kuna Yule kijana ambae Jana amemuoa binti wa Ruto alieleza jinsi Baba yake wa kambo alikuwa hampendi na alimtesa sana. Leo hii sijui anaweka wapi sura yake.
Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako. Hiyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa angalia tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao, malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniania.
βΊοΈπ Kuna Kofi Sasa mpaka kuvimba sio Kofi ni KELEBUKOfi linaacha alama
Kuna kitoto u aweza kipiga kofi kikavimba balaa
watoto wa pwani tena wamefanya nnπMtoto wa umri huo lazima apigwe sema kuna upogaji wake, Kwa Umri huo mtoto ananza kujifunza tabia nzuri na mbaya, ndiyo maana Watoto wa pwani hawana tabia njema kwasababu hawapati malezi ya Baba na wanapata malezi Ya Mama ndiyo maana wanakua na tabia ya kutukana matusi hovyo hovyo tu, kukuta mtoto kutoka Bara anatukana matusi ni ngumu.
Mpeleke kwa baba yake au bibi yake siku utakuta maitiUnakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs, uliza kosa sasa, eti aliruka juu ya makochi, mara oooh alipeleka masufuria sebuleni.
Mara oooh alichora ukuta , ooh anahangaika Sana hatulii.
Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na mama yake sio wewe mwanaume mzima kutumia minguvu yako kumpa kipigo mtoto kama huyo. Sema Tu humpendi
Kuna Yule kijana ambae Jana amemuoa binti wa Ruto alieleza jinsi Baba yake wa kambo alikuwa hampendi na alimtesa sana. Leo hii sijui anaweka wapi sura yake.
Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako. Hiyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa angalia tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao, malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniania.
Hawana nidhamuwatoto wa pwani tena wamefanya nnπ
Wanaume jifunzeni kuwa na kiasi.Unakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs, uliza kosa sasa, eti aliruka juu ya makochi, mara oooh alipeleka masufuria sebuleni.
Mara oooh alichora ukuta , ooh anahangaika Sana hatulii.
Mtoto mdogo wa umri huo anapaswa kupewa adhabu ndogo ndogo na mama yake sio wewe mwanaume mzima kutumia minguvu yako kumpa kipigo mtoto kama huyo. Sema Tu humpendi
Kuna Yule kijana ambae Jana amemuoa binti wa Ruto alieleza jinsi Baba yake wa kambo alikuwa hampendi na alimtesa sana. Leo hii sijui anaweka wapi sura yake.
Kwanza mwanaune ukitaka kubarikiwa kuwa Baba kwa mtoto ambae sio wa kwako. Hiyo ni password kubwa Sana ukitaka kubarikiwa angalia tu waliokuzunguka waliolea watoto ambao sio wao, malipo yao mazuri wameyapata hapa hapa duniania.
π€£π¬πππππBaba yake mzazi angekuwa anampenda huyo mtoto asingemuacha alelewe na Baba wa kambo.
SawaWanaume jifunzeni kuwa na kiasi.
ππππPole dear huyo mubaba hafai....