GBFAVOR
Member
- Dec 6, 2015
- 8
- 5
Mwamini yeye aliyesema " Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko. Yohana (8:56&58)Hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini.
Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu, ambaye anakubaliki na Dini zote, kuanzia Uyahudi, Ukristo mpaka Uisilamu, na hawa wote ibada zao zimetofautiana.
Je, niwapi wanaomfata?