Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

Hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini.

Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu, ambaye anakubaliki na Dini zote, kuanzia Uyahudi, Ukristo mpaka Uisilamu, na hawa wote ibada zao zimetofautiana.

Je, niwapi wanaomfata?
Mwamini yeye aliyesema " Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko. Yohana (8:56&58)
 
Kwani hata mkitafsriwa itakiwavyo mtakubali!


Uzuri wa bahati Qur'an inajitafsiri yenyewe, yaani aya za Qur'an zinasaidiana katika kufafanua mambo, hivyo wewe usihofu lete hiyo tafsiri na tutaipima kupitia huo mzani na mizani mingine inayofaa.
 
Alikuwa anasali kwa Mwamposa mbona nilivyosikiaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…