Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Cha muhimu kafika majuu 🤣🤣kilichomkuta rafiki yangu roja aka rajabu aliishia kufanya kazi za ndani kule uholanzi na kulea watoto wa mwanamke aliishia kuwa baba wa nyumbani akitoka kidogo aliishia kupigwa vibao na maneno ya kejeli kutoka kwa familia ya Binti wa kiholanzi
Naunga mkono hoja 🤣😁Roja kama Roja avumilie shida zikizidi ajivute hapo Belgium aombe msaada kwa ubalozi arudi skani ila wa Ned huwa wazuri sana kwanza ni super tall Kisha Wana mwendo flani sio poa ni kama mabinti wa kirusi
Kuchomoka kwa Binti wa ki Ned ngumu simlaumu Roja Cha msingi msisitize mateso yote anayopata akayalipie bed ni mgonge nyumba nzima ijae kelele hadi asubuhi wapewe standing ovation na familia mwambie apige push ups na kergelNaunga mkono hoja 🤣😁
Ndio mkuuitaendelea?
Ulaya sio sehemu salama sanaCha muhimu kafika majuu 🤣🤣
Father of Home.Ilikuwa mwaka 2011 kipindi nafanya kazi hoteli Moja pale Zanzibar Mimi na rafiki yangu aliye itwa rajabu pale hotelini mademu wa kizungu kutoka ulaya ni wangi sana sasa ndugu yangu rajabu si akampenda Binti wa kiholanzi ,Netherlands baadae wakaondoka wote kwenda uholanzi roja akazani ame yapatia maisha kilichomkuta rafiki yangu roja aka rajabu aliishia kufanya kazi za ndani kule uholanzi na kulea watoto wa mwanamke aliishia kuwa baba wa nyumbani akitoka kidogo aliishia kupigwa vibao na maneno ya kejeli kutoka kwa familia ya Binti wa kiholanzi siku Moja hadi rajabu alitaka kurudi kwao nzanzibar akaishia kutishwa na familia ya Binti
Itaendelea
Ni mateso Yale sio mapenziAvumilie tuu, hayo ndio mapenzi
Ni majanga sanaFather of Home.
Kwanini?Ulaya sio sehemu salama sana
Mmmhhhh mabinti wa kirusi si wanatembea kama Putin Mzee?Roja kama Roja avumilie shida zikizidi ajivute hapo Belgium aombe msaada kwa ubalozi arudi skani ila wa Ned huwa wazuri sana kwanza ni super tall Kisha Wana mwendo flani sio poa ni kama mabinti wa kirusi
Acha wale nadhani ndio wasichana warembo Ulaya au umesahau hadi waliimbwa na Elton John (Nikita)Mmmhhhh mabinti wa kirusi si wanatembea kama Putin Mzee?