Baba wa nyumbani!

Baba wa nyumbani!

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Ilikuwa mwaka 2011 kipindi nafanya kazi hoteli Moja pale Zanzibar Mimi na rafiki yangu aliye itwa rajabu pale hotelini mademu wa kizungu kutoka ulaya ni wengi sana sasa ndugu yangu rajabu si akampenda Binti wa kiholanzi ,Netherlands baadae wakaondoka wote kwenda uholanzi roja akazani ame yapatia maisha kilichomkuta rafiki yangu roja aka rajabu aliishia kufanya kazi za ndani kule uholanzi na kulea watoto wa mwanamke aliishia kuwa baba wa nyumbani akitoka kidogo aliishia kupigwa vibao na maneno ya kejeli kutoka kwa familia ya Binti wa kiholanzi siku Moja hadi rajabu alitaka kurudi kwao nzanzibar akaishia kutishwa na familia ya Binti

Itaendelea
 
Ilikuwa mwaka 2011 kipindi nafanya kazi hoteli Moja pale Zanzibar Mimi na rafiki yangu aliye itwa rajabu pale hotelini mademu wa kizungu kutoka ulaya ni wangi sana sasa ndugu yangu rajabu si akampenda Binti wa kiholanzi ,Netherlands baadae wakaondoka wote kwenda uholanzi roja akazani ame yapatia maisha kilichomkuta rafiki yangu roja aka rajabu aliishia kufanya kazi za ndani kule uholanzi na kulea watoto wa mwanamke aliishia kuwa baba wa nyumbani akitoka kidogo aliishia kupigwa vibao na maneno ya kejeli kutoka kwa familia ya Binti wa kiholanzi siku Moja hadi rajabu alitaka kurudi kwao nzanzibar akaishia kutishwa na familia ya Binti

Itaendelea
Father of Home.
 
Back
Top Bottom