Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Ilikuwa mwaka 2011 kipindi nafanya kazi hoteli Moja pale Zanzibar Mimi na rafiki yangu aliye itwa rajabu pale hotelini mademu wa kizungu kutoka ulaya ni wengi sana sasa ndugu yangu rajabu si akampenda Binti wa kiholanzi ,Netherlands baadae wakaondoka wote kwenda uholanzi roja akazani ame yapatia maisha kilichomkuta rafiki yangu roja aka rajabu aliishia kufanya kazi za ndani kule uholanzi na kulea watoto wa mwanamke aliishia kuwa baba wa nyumbani akitoka kidogo aliishia kupigwa vibao na maneno ya kejeli kutoka kwa familia ya Binti wa kiholanzi siku Moja hadi rajabu alitaka kurudi kwao nzanzibar akaishia kutishwa na familia ya Binti
Itaendelea
Itaendelea