Baba wa Taifa na tatizo la Udini

Baba wa Taifa na tatizo la Udini

Saivi
Raisi muislam
Waziri mkuu muislam
Katibu mkuu kiongozi ni muislam
ambao ndo mamlaka kuu ya uteuzi. Je wanawapendelea waikristu na kuwabagua waislam wenzao.
Pamoja na kuwa viongozi wakuu wote wa Tanganyika na Zanzibar kuwa Waislamu.

Lakini bado wananung'unika kwamba hawapewi kipaumbele kwenye nafasi za uongozi.

Sijui hawa jamaa wanaridhika na nini.

Zanzibar viongozi wote ni Waislamu lakini hili hawalisemi.

Labda ili waridhike na Tanganyika pia wanataka viongozi wote wawe Waislamu kama Zanzibar.

Hawa watu ni wa kuwavumilia tu, nadhani wana kitu flani hakija kaa sawa vichwani mwao.

Hata wasome vipi lakini hicho kitu hakiondoki vichwani mwao.

Ila watambue kila kitu kina mwanzo mwisho wake.
 
Simjibii Mzee Mohammed , lakini kwa Zanzibar kuna kitu kinaitwa Akhlaak, Tabia nzuri .

Kabla Zanzibar haijavamiwa na Tanganyika tabia za Wazanzibari zilikuwa nyengine kabisa kinyume na baada ya mavamizi. Wizi , heshima, na tabia njema takriban vimeondoka kwa kufuata hizi tabia za wakristo na makafiri.

Zamani ulikuwepo ujirani na kusaidiana , sasa kila mtu ki vyake.

Ukipoteza kitu , kikionekana kinarudishwa , hivi sasa ni mtihani.

Mfumo huu wa ki CCM umeharibu kila kitu na ndilo lengo la hao waliovamia kuichafua nchi
Wewe usilete uongo, ubaguzi na ujinga. Hata huko kwenye sharia ambako kidokozi hukatwa mikono, muongo hukatwa ulimi, mzinifu hukatwa ndunde, bado hayo yote yapo. Huo mfumo wa sultan ulileta nini, zaidi kuhasiwa/ kuondolewa korodani watu weusi. Mshukuruni Karume, hata mna uhuru wa kuandika JF. Mbona hii historia unaificha. Mbona hujaweka bayana jinsi Sultan na uislamu wake alivyokuwa kinara wa kuwauza watu weusi utumwani. Mbona hujatuletea idadi ya watu weusi waliyohasiwa au kuondolewa korodani huko Zanzibar. Hivi hii historia haitakliwi kujulikana. Wewe unaitaka ile ya mtu wa Afrika Kusini tu (Abdul Sykes). Tumegee na sisi mateso ya watu waliyokuwa na rangi kama ya Karume kabla ya mapinduzi. Acha uongo, eti unaelimisha, hayo ya Waarabu huko Zanzibar siyo elimu. Unatung'ang'aniza tu ya Nyerere. Tumechoka, na msimamo wako wa siasa kali unajulikana. Jaribu hayo kule Muscat, Oman uone cha mtema kuni!
 
unaweza kuthibitisha hiyo ratio ya 20:80?
Sojo...
Uadilifu II

Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:

Mawaziri na Manaibu: 30.

Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.

Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.

Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.

Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.

Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.

Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.

Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.

Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.

Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.

Wakurugenzi mbalimbali: 249.

Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.

Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.

Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.

Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.

Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33

Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.

Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.

Jumla Kuu ya Uteuzi:

Waislamu asilimia 20%.

Wakristo asilimia 80%.
 
ewe usilete uongo, ubaguzi na ujinga. Hata huko kwenye sharia ambako kidokozi hukatwa mikono, muongo hukatwa ulimi, mzinifu hukatwa ndunde, bado hayo yote yapo. Huo mfumo wa sultan ulileta nini, zaidi kuhasiwa/ kuondolewa korodani watu weusi. Mshukuruni Karume, hata mna uhuru wa kuandika JF. Mbona hii historia unaificha. Mbona hujaweka bayana jinsi Sultan na uislamu wake alivyokuwa kinara wa kuwauza watu weusi utumwani. Mbona hujatuletea idadi ya watu weusi waliyohasiwa au kuondolewa korodani huko Zanzibar. Hivi hii historia haitakliwi kujulikana. Wewe unaitaka ile ya mtu wa Afrika Kusini tu (Abdul Sykes). Tumegee na sisi mateso ya watu waliyokuwa na rangi kama ya Karume kabla ya mapinduzi. Acha uongo, eti unaelimisha, hayo ya Waarabu huko Zanzibar siyo elimu. Unatung'ang'aniza tu ya Nyerere. Tumechoka, na msimamo wako wa siasa kali unajulikana. Jaribu hayo kule Muscat, Oman uone cha mtema kuni!
Ndugu zanguni kwa kawaida hivi ndivyo tunavyomaliza mara zote mijadala hii.
Jaribu kuanzia hapa rudi nyuma soma michango.

Lakini kunakuwa na faida inapatikana kwa wale ambao hawakuwa wanaijua historia ya uhuru wa Tanganyika kujifunza historia ya kweli.
 
Mi nakupa huo mfano na nchi yenyewe ni Zanzibar. Wamanga wapo wachache lakini walipambana wakapata uhuru wa Zanzibar tena wao wakiwa ndiyo watawala....hao maprofeasa wako wa Iowa inaonekana walipitiwa. Naweza kukupa tena mifano ya nchi 3 ukitaka.


Kwa nn unaamini Waislam ni wengi nchi hii. Na mm nitakwambia naamini Wakristu ni wengi. Na wala hautakuwa na premises zozote za kunibishia.

Hicho kitabu cha Sykes umeandika wewe na hapa unataka ndiyo kiwe rejea...inawezekanaje?
In academia we make reference to other academicians/experts and not ourself. Referencing someone means trying to show that, what you said/wrote is not only your opinion, but that of other experts you referenced. Huyo profesa wako wa Iowa hakukufundisha ukweli huu. Wewe unakuwa mlalamikaji na shahidi kwa wakati mmoja. Haiendi hivyo mzee mwenzangu, ama sivyo unazeeka vibaya.
 
Sojo...
Uadilifu II

Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:

Mawaziri na Manaibu: 30.

Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.

Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.

Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.

Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.

Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.

Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.

Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.

Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.

Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.

Wakurugenzi mbalimbali: 249.

Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.

Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.

Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.

Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.

Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33

Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.

Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.

Jumla Kuu ya Uteuzi:

Waislamu asilimia 20%.

Wakristo asilimia 80%.
Heshima kwako Mzee wangu.data kama Hz awamu hii unazo tuzijue.

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zanguni kwa kawaida hivi ndivyo tunavyomaliza mara zote mijadala hii.
Jaribu kuanzia hapa rudi nyuma soma michango.

Lakini kunakuwa na faida inapatikana kwa wale ambao hawakuwa wanaijua historia ya uhuru wa Tanganyika kujifunza historia ya kweli.
Sis tunaijuwa, Nyerere/TANU ilileta uhuru. Abdul Sykes hakuwa Mtanganyika bali mtu wa Afrika Kusini. Hili wewe hutuambii. Kama ulikuwa hujui pata hiii ilmu toka kwangu. Picha hazielezi lolote zaidi na unavyozitafsiri. Piacha siyo prpoof kuwa hao walileta uhuru. Kama walikuwa serious kwa nini wakamwachia Nyerere. Kumbuka kudai uhuru ni siasa na siasa ni ushindani. Nyere alishindani nao aklawatolea mbali. Alikuwa na uwezo unaotakiwa na ndiyo maana ndiye alieonekana anafaa. Abdul Sykes aache kupigania uhuru wa kwao South Africa aje kupigania wa TZ. Kwanza wakoloni wangemtolea uvivu na ndiyo kwanza miaka ya kupata uhuru ingesogea mbele.
 
Zote hizo ni propaganda Za kivukoni ukichanganya Na Za Pengo
Naona sasa umechanganyikiwa. Uuzwaji watumwa kule Zanzibar ni propoganda za Kivukoni. Soko kuu la watumwa Zanzibar, ni propoganda za Kivukoni. Ila wewe haya ya kwako yasiyo na shahidi zaidi ya wewe mwenyewe ndiyo ukweli. You are stooping too low.
 
Ksk,
Nilikuwa msaidizi wa Dr. Harith Ghassany wakati anatafiti historia ya mapinduzi ya Zanzibar.

Kwa njia moja nimesaidia katika kufahamika kwa historia ya Zanzibar.

Nakushauri uisome historia ya Zanzibar vizuri kwanza kabla hujataka kuijadili.
Wewe umefahimika wapi zaidi ya JF na huko nyuma TANZANET. Na hufamiki kwa sifa ya historia bali mlalamikaji mwenye siasa kali! Wewe unategemea nini kwa mtu wa Oman (Muscat). Dr. Harith Ghassany ni mwarabu ndugu yake sultan aliyepimnduliwa Zanzibar. Unafikiri atasema kizuri kipi kuhusu watu weusi. Lazima aandike yale wanayotaka kusikia walifukuzwa Zanzibar.
 
Uadilifu II

Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:

Mawaziri na Manaibu: 30.

Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.

Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.

Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.

Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.

Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.

Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.

Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.

Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.

Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.

Wakurugenzi mbalimbali: 249.

Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.

Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.

Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.

Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.

Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33

Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.

Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.

Jumla Kuu ya Uteuzi:

Waislamu asilimia 20%.

Wakristo asilimia 80%.
unaweza kuprove hii statistics uliyoiweka hapa maana chanzo cha hizi takwimu ni nini?
 
Ksk,
Ninakuomba uwe unaniandikia Kiswahili maana ndicho ninachokimudu.

Kiingereza kwangu kinanipa shida.

Hii mada ya Zanzibar ni nzuri tujadili lakini si katika uzi huu.

Fungua uzi mpya nitakuja In Shaa Allah.
Kule Iowa ulikuwa unaongea lugha gani! Acha hizo!
 
Sasa hivi tunatawaliwa na Waislamu tu Tanganyika na Zanzibar.
Je na sisi wa Jamii nyingine tuchukue hatua gani?

Ili kuondokana na hii Islamic Rule
Ambayo inaonekana imechukua nafasi hizi kwa hila za kututawala sisi wengine ?
 
Msomi kama upo ili kuleta mgawanyiko katika jamii yako
Usomi wako ni Zero.
Kama msomi kweli lete mabadiliko chanya pale palipoonekana pana kasoro kwa kuweka mikakati chanya itakayo kuwa na manufaa.
Kulialia mitandaoni na kukumbusha makosa ya kale bila kuleta suluhisho ni upotofu.
 
Sojo...
Uadilifu II

Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:

Mawaziri na Manaibu: 30.

Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.

Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.

Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.

Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.

Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.

Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.

Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.

Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.

Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.

Wakurugenzi mbalimbali: 249.

Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.

Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.

Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.

Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.

Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33

Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.

Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.

Jumla Kuu ya Uteuzi:

Waislamu asilimia 20%.

Wakristo asilimia 80%.
Umepimaje uislam wao au ukristo wao, kwa kuangalia majina?
 
Umepimaje uislam wao au ukristo wao, kwa kuangalia majina?
Nanren,
Nacheka peke yangu.

Klu Klux Klan kamkamata kijana wa Kinegro anamuuliza, "Unawapenda wanawake Wazungu?"

Kijana akadhani akisema ndiyo anawapenda atasalimika.
Akajibu, ''Ndiyo nawapenda.''

Jamaa akamwambia, "Aha kumbe unawatamani wanawake wetu ukiwapatia nafasi utawabaka."

Kajuta kaona bora angesema anawachukia.
Unazungumza na Mohamed Said.
 
Back
Top Bottom