Baba wa Taifa na tatizo la Udini

Baba wa Taifa na tatizo la Udini

Msomi kama upo ili kuleta mgawanyiko katika jamii yako
Usomi wako ni Zero.
Kama msomi kweli lete mabadiliko chanya pale palipoonekana pana kasoro kwa kuweka mikakati chanya itakayo kuwa na manufaa.
Kulialia mitandaoni na kukumbusha makosa ya kale bila kuleta suluhisho ni upotofu.
Che...
Si mimi niliyesababisha mgawanyiko wa 20:80.
 
In academia we make reference to other academicians/experts and not ourself. Referencing someone means trying to show that, what you said/wrote is not only your opinion, but that of other experts you referenced. Huyo profesa wako wa Iowa hakukufundisha ukweli huu. Wewe unakuwa mlalamikaji na shahidi kwa wakati mmoja. Haiendi hivyo mzee mwenzangu, ama sivyo unazeeka vibaya.
Ksk,
Mimi sina tatizo na fikra za wenzangu.

Naheshimu fikra zao na mimi naeleza ninayojua tena bila ghadhabu.

Kueleza niyajuayo kwa wenzangu ni kuzeeka vibaya.

Wazungu wanaita "name calling.''

Hawajui kama hawajui na hawajui hawataki kuwasikiliza wenye kujua.
 
unaweza kuprove hii statistics uliyoiweka hapa maana chanzo cha hizi takwimu ni nini?
Sojo...
Usijihangaishe.
Chukulia kuwa ni za kupikwa.

Kwako wewe muhimu ni kuwa ujue kuwa lipo tatizo na Waislam wanasema kuwa liko tatizo na viongozi wetu wanapata taarifa hizi kuwa liko tatizo katika jamii.

Wanaostahili kuwajibu Waislam wako kimya kwa nini wewe uhangaike?
Wao ndiyo wenye kujua kama tumesema kweli.

Si unaona hapa naingia kwa jina langu sijajificha?
 
Hivi Waislamu wao kutopenda Shule toka tupate Uhuru ilitokana na Nini? Au wanafundishwa såna kuhusu Ahera Na kuona hapa Duniani sio muhimu?
 
Naona sasa umechanganyikiwa. Uuzwaji watumwa kule Zanzibar ni propoganda za Kivukoni. Soko kuu la watumwa Zanzibar, ni propoganda za Kivukoni. Ila wewe haya ya kwako yasiyo na shahidi zaidi ya wewe mwenyewe ndiyo ukweli. You are stooping too low.
watumwa hawakuuzwa na waarabu , hata waafrika wakiuza watumwa na wazungu
 
Mfumo gani wakati mfumo wa serikali ni secular
MFUMO NI WA KRISTO NA NDIO UNAOWATESA MPAKA WAKRISTO WENGINE KAMA WALIOKO CHADEMA NA VYAMA VYENGINE, CCM inaendelea kufuata mfumo ule ule wa wakoloni kuwatesa wanaowapinga
 
Hivi Waislamu wao kutopenda Shule toka tupate Uhuru ilitokana na Nini? Au wanafundishwa såna kuhusu Ahera Na kuona hapa Duniani sio muhimu?
Mtochoro,
Ingependeza kabla hujaandika angalau ufanya utafiti kidogo.
Haya uliyosema si kweli.

Inajuhistoria ya EAMWS najuhudi zake za kujega shule?

Unajua kuwa EAMWS ilijenga shule nyingi Tanganyika na katika Muslim Congress ya 1962 ilikuja na azimio la elimu la kujenga shule nyingi na Chuo Kikuu?

Ikiwa hujui nifahamishe nikupe kisa kizima na nini yalikuwa matokeo ya juhudi hizi.
 
Wewe usilete uongo, ubaguzi na ujinga. Hata huko kwenye sharia ambako kidokozi hukatwa mikono, muongo hukatwa ulimi, mzinifu hukatwa ndunde, bado hayo yote yapo. Huo mfumo wa sultan ulileta nini, zaidi kuhasiwa/ kuondolewa korodani watu weusi. Mshukuruni Karume, hata mna uhuru wa kuandika JF. Mbona hii historia unaificha. Mbona hujaweka bayana jinsi Sultan na uislamu wake alivyokuwa kinara wa kuwauza watu weusi utumwani. Mbona hujatuletea idadi ya watu weusi waliyohasiwa au kuondolewa korodani huko Zanzibar. Hivi hii historia haitakliwi kujulikana. Wewe unaitaka ile ya mtu wa Afrika Kusini tu (Abdul Sykes). Tumegee na sisi mateso ya watu waliyokuwa na rangi kama ya Karume kabla ya mapinduzi. Acha uongo, eti unaelimisha, hayo ya Waarabu huko Zanzibar siyo elimu. Unatung'ang'aniza tu ya Nyerere. Tumechoka, na msimamo wako wa siasa kali unajulikana. Jaribu hayo kule Muscat, Oman uone cha mtema kuni!

Sultani alimuuwa nani ?? sultani alimbambikizia nani kesi , Sultani hakuwa na nyumba hata moja , alikuwa akikaa nyumba ya serikali. Leo hii hii miafrika kila kukicha ndiye inayoendekeza kunajisi, kuuwa waafrika wenzao, kiba mali za watu mabenki, kuwanyonya masikini na kodi na tozo zisizoingia akilini. Nenda kule Afrika Kusini kama wazulu hawatokunyofoa korodani .
 
Wewe umefahimika wapi zaidi ya JF na huko nyuma TANZANET. Na hufamiki kwa sifa ya historia bali mlalamikaji mwenye siasa kali! Wewe unategemea nini kwa mtu wa Oman (Muscat). Dr. Harith Ghassany ni mwarabu ndugu yake sultan aliyepimnduliwa Zanzibar. Unafikiri atasema kizuri kipi kuhusu watu weusi. Lazima aandike yale wanayotaka kusikia walifukuzwa Zanzibar.
ksk,
Unaniuliza wapi nafahamika:
1643577350966.png

BBC Glasgow, Scotland
1643577431061.png

Voice of America, Washington DC
1643577575081.png

Radio Tehran, Iran

1643577737172.png

Na Prof. Mohamed Bakari Fath University, Istanbul Turkey
 
Msomi kama upo ili kuleta mgawanyiko katika jamii yako
Usomi wako ni Zero.
Kama msomi kweli lete mabadiliko chanya pale palipoonekana pana kasoro kwa kuweka mikakati chanya itakayo kuwa na manufaa.
Kulialia mitandaoni na kukumbusha makosa ya kale bila kuleta suluhisho ni upotofu.
Che...
20:80 ndiyo inaleta mgawanyiko.
 
Sojo...
Uadilifu II

Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:

Mawaziri na Manaibu: 30.

Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.

Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.

Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.

Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.

Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.

Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.

Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.

Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.

Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.

Wakurugenzi mbalimbali: 249.

Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.

Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.

Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.

Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.

Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.

Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33

Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.

Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.

Jumla Kuu ya Uteuzi:

Waislamu asilimia 20%.

Wakristo asilimia 80%.
Haya, sasa tupo awamu ya 6, Rais Muislamu, Waziri mkuu muislamu, katibu mkuu kiongozi muislamu, Ratio ikoje?

Mzee huwa una madini mengi ila hoja zako za 'Udini' huwa zinanifanya nikuone msomi kanjanja, kabla ya u kristo na u islamu sisi ni watanzania, ni aibu kwa mwanazuoni kama wewe kulia lia kwenye issue zisizo na tija kwenye taifa hili, unadhani uislamu wako ni bora kuliko u Tanzania wako? mawazo ya kitumwa kabisa haya.
 
Masta ...
Ndiyo dunia watu lazima wapishane mawazo.
Hapana haja ya lugha za kukebehi "kanjanja," "kulia," nk.

Naamini unaijua kalamu yangu haiandiki matusi wala kejeli.
Nawe ungenilipa kwa heshima hiyo hiyo.

Bahati mbaya wanaostahili kujibu wako kimya na ukimya huu unatokana na uzito wa jambo lenyewe.

Unajibu wewe tena kwa jeuri.
 
Masta ...
Ndiyo dunia watu lazima wapishane mawazo.

Hapana haja ya lugha za kukebehi "kanjanja," "kulia," nk.

Naamini unaijua kalamu yangu haiandiki matusi wala kejeli.

Nawe ungenilipa kwa heshima hiyo hiyo.

Bahati mbaya wanaostahili kujibu wako kimya na ukimya huu unatokana na uzito wa jambo lenyewe.

Unajibu wewe tena kwa jeuri.
Ni lazima ujibiwe, Uislamu wako ni bora kuliko utanzania wako? Kama babu zako walikua na aina hii ya fikra sintoshangaa ni kwanini hawakuandikwa katika historia ya Tanganyika, Inaonekana wazi walipanga kujinufaisha wao binafsi na kuleta u dini hapa nchini.
 
In academia we make reference to other academicians/experts and not ourself. Referencing someone means trying to show that, what you said/wrote is not only your opinion, but that of other experts you referenced. Huyo profesa wako wa Iowa hakukufundisha ukweli huu. Wewe unakuwa mlalamikaji na shahidi kwa wakati mmoja. Haiendi hivyo mzee mwenzangu, ama sivyo unazeeka vibaya.
Nadhani unamwambia Mohamed Said siyo mimi
 
Back
Top Bottom